Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,790
- 182,962
Mmmh sasa nani tena!!🙆♂️🙆♂️sio mimi jamani aisweaaa🥺
Mmmh sasa nani tena!!🙆♂️🙆♂️sio mimi jamani aisweaaa🥺
Mjukuu njoo uchukue pipi.Kumbe bibi upo mwingi😅
Mjukuu yasikie tu.😅😅😅 aloooo
Ninalo jambo.Shindii haujambo?
huenda kapata kimada kipya humu kikamroga huyu mzee🤔Aje atueleze alipo.
kuna mtu anatuchezea akili nakwambia 😆Mmmh sasa nani tena!!🙆♂️🙆♂️
🥰Mjukuu njoo uchukue pipi.
Siombi msamaha shindii wamatumbi mkiombwa mnanongwa sana😀🤣🤣🤣🤣
Sasa shindii habari za hela zimetoka wapi?
Kunywa tu ila uzime simu, This time msamaha hatutoi.
Na akirudi cha kwanza kusingizia ni sabato, we subiri arudi uone!
Sasa unatuombaje msamaha reja reja hivyo🤷♀️Siombi msamaha shindii wamatumbi mkiombwa mnanongwa sana😀
😃Sasa unatuombaje msamaha reja reja hivyo🤷♀️
Nitaja toa mtu busha la uso!kuna mtu anatuchezea akili nakwambia 😆
Msamaha hauna hata viambatanisho🙆♂️
Hapo ntakusaidia ma mkali😂Nitaja toa mtu busha la uso!
Hahahaha kama vipi shindii?Msamaha hauna hata viambatanisho🙆♂️
Si nilikuwa natafuta pesa..Ndio wamekuachia? Sijakuona nyumbani wiki mbili🙆♂️🙆♂️