Kuomba na kunyimwa?

Huogopi kuchapa K za wenyewe tena waheshimiwa?
Hala hala tusikuokote ununio😢

Ila inaonekana ilikua tamu sana jinsi ilivyoandika
Muhimu ni haya mambo:
1.usiri
2.heshima kwa mwenye mali
3.Kula kwa kuogopa sio kula kama mali yako
4.Hakuna mawasiliano kabisa,isipokuwa kwa code mlizokubaliana,mgano geranimo ekia
 
i swear hadi alifungiwa nyumba mimi mda huo ndo kabsaa sina bahari nae hadi leo tukikutana ananiambia mimi mbaya nabaki kumwambia nipake rangi niwe mzuri.
Una roho mbayaa😁
 
Muhimu ni haya mambo:
1.usiri
2.heshima kwa mwenye mali
3.Kula kwa kuogopa sio kula kama mali yako
4.Hakuna mawasiliano kabisa,isipokuwa kwa code mlizokubaliana,mgano geranimo ekia
Aisee mi siwezi nikikolea nitaanza kuvuka mipaka duh
 
TO WHAT EXTENT

AND
Why are so many people—both youth and elders—committing to casual relationships if being single is supposedly so beneficial?

Relationships aren't school uniforms that have to be the same for everyone

Each person has their own viewpoint and their own reasons for choosing what works for them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…