Kuomba Msamaha ndani ya mahusiano!!

Kuna makosa ya kuomba samahani kuna mengine hayana msamaha.

Fidel
kwa mfano ukiteleza ukataka kudumbukia department B halafu akawa hayuko interested hapa lazima uombe samahani

lakini ukilazimisha ukadumbukia uko department B bila ridhaa yake hilo kosa halina msamaha
 
husiombe samahani kwa kosa ambalo hujafanya na ikitokea umeomba ni lazima uni-declare kabisa kuwa unafunika kombe mwanaharamu apite.

Wengi huomba samahani hata kama hawajakosa ili mambo yaishe na maisha yaendelee..maana hakuna haja kupoteza muda huku mmekasirikiana wakati maisha ni mafupi mno.Ukinuna siku au wiki nzima kwanza unapungunza uhai wako kwa siku au hata masaa machache.Is it worthy it?
 
...swadakta! unakumbuka kindergatten/primary school na hata boarding school (enzi za u -njuka aka form 1) kulikuwa na wale bullies? yaani almuradi tu akuchokoze mpigane? How did you cope with that?

..tactics zile zile zilizoku shape utotoni ndio zitumie ukubwani, kwani unajua faida na hasara zake. Kama 'vagi' litakunasua kwenye makucha yake, ruksa! ...kama ukimpuuzia ajione mjinga ndio suluhisho, deal with it!

...binafsi nakushauri mpuuzie. Hawa spouses wetu kuna wengine ni spoiled brats tangia huko mwa wazazi wao, kwetu wanakuja kuhitimisha tu. Mpuuzie.. mwache ajigalagaze machangani, apige mayoe hata akitaka ajikojolee, mwache hivyo hivyo na 'nepi' yake!

... Ignore him!

Shabashi!!Nimekubalii.
"Kukaa kimyaaa,sikuogopaaa bali naona vibayaa kugombana naweee,....

mpuuzie tu.
 
Wengi huomba samahani hata kama hawajakosa ili mambo yaishe na maisha yaendelee..maana hakuna haja kupoteza muda huku mmekasirikiana wakati maisha ni mafupi mno.Ukinuna siku au wiki nzima kwanza unapungunza uhai wako kwa siku au hata masaa machache.Is it worthy it?

WFS unaweza kufanya hivi lakini mimi nina uhakika tabia hii ikizoeleka athari zake ni kubwa kuliko kukataa kuwa hujafanya kosa hilo na kama unaomba radhi ili kuepuka mgongano kuwa wazi kabisa kuwa unafunika kombe mwanaharamu apite.

Mimi haiwezekani mke au mpenzi wangu aniambie unatoka nje ya mahusiano nimkubalie na kumuomba radhi wakati sio kweli. Hata siku moja siwezi fanya ujinga kama huu
 
Makosa gani hayo yaweke wazi Fidel

Ukiwa mke wa mtu unaelewa kabisa ni kosa kujiexpress nje ya ndoa unadiliki kumegwa na kuzaa nje na huyo huyo serengeti boyz au beberu/dume hili kosa sidhani kama linamsamaha.
Ukimegwa tu bila kujiexpress unaweza ukasamehewa lakini kwangu mimi kosa kubwa ni hili la kujiexpress na mtu mwingine yaani hilo beberu lifaidi napo faidi mimi wengine watauliza utajuaje? Watu tuna software kwenye vidole nagundua tu.
 
........,,,,,,, tahadhari kwa wale wenye mpango wa 'kukutana' na Fidel: Usimruhusu aku'massage' side B. (joke)
 
Kuna makosa ya kuomba samahani kuna mengine hayana msamaha.

...una maana kuna makosa unaweza kuomba msamaha, na kuna makosa huwezi kuomba msamaha?

Nadhani kosa ni kosa tu, yote yanaombewa msamaha ...ni juu ya mlengwa kusamehe au kutokusamehe.
 
........,,,,,,, tahadhari kwa wale wenye mpango wa 'kukutana' na Fidel: Usimruhusu aku'massage' side B. (joke)

Hahahaha yeah yeah hapo mama inakuwa hakuna cha msamaha nimewahi uacha mzigo mjengoni hivi hivi baada ya kupima software nika detect kitu used nikaacha mpaka kesho ananiangalia hanimalizi.
 
...una maana kuna makosa unaweza kuomba msamaha, na kuna makosa huwezi kuomba msamaha?.

Yale makosa unafanya kosa huku ukielewa unatenda kosa unaomba msamaha wa nini wakati umekusudia kutenda kosa na kurudia tena na tena kosa hilo hilo ukiomba msamaha ni kuonyesha dharau kwa mtendwa.
 
Yale makosa unafanya kosa huku ukielewa unatenda kosa unaomba msamaha wa nini wakati umekusudia kutenda kosa na kurudia tena na tena kosa hilo hilo ukiomba msamaha ni kuonyesha dharau kwa mtendwa.

...swadakta, MJ'1 swali lako limejibiwa!...

...na je mtu anayekukosea na anajua kabisa hapa nimecheza rough lakini haombi msamaha wala nini tena ndo kwanza anaact kama vile hakuna kilichotokea (hata kama anajua wewe una hasira) utamwelewaje?
 
........Watu tuna software kwenye vidole nagundua tu.

ha haaah haa teh tehh, mkuu unatisha!.
sasa mkuu endapo mkeo akijiexpress nje unamaindi, je wewe kujiexpress nje na mke wa mtu vp, poa tu au?
 
Hahahaha yeah yeah hapo mama inakuwa hakuna cha msamaha nimewahi uacha mzigo mjengoni hivi hivi baada ya kupima software nika detect kitu used nikaacha mpaka kesho ananiangalia hanimalizi.

........... mh na we nawe hiyo okota okota yako! Utajaokota mabomu shauri yako Fidel.
 
WFS unaweza kufanya hivi lakini mimi nina uhakika tabia hii ikizoeleka athari zake ni kubwa kuliko kukataa kuwa hujafanya kosa hilo na kama unaomba radhi ili kuepuka mgongano kuwa wazi kabisa kuwa unafunika kombe mwanaharamu apite.

Mimi haiwezekani mke au mpenzi wangu aniambie unatoka nje ya mahusiano nimkubalie na kumuomba radhi wakati sio kweli. Hata siku moja siwezi fanya ujinga kama huu

Sipo... kuomba msamaha siyo kwa mambo makubwa yenye athari za kudumu kama hayo ndugu yangu!
Kuna mambo ukikubali umefanya - yawe kweli au uongo ujue athari zake ni kubwa na za kudumu.Ni sawasawa na kwenda mahakamani kukiri kosa..kitakachofuata ni kifungo!

Ninazungumzia yale maudhi madogomadogo ..mfano kama labda mmekubaliana mkutane saa fulani..mwenzio akachelewa kwa vile kulikuwa na tatizo nje ya uwezo wake..badala ya kuanza kubishana na kujustify kwanini umechelewa, basi unaomba radhi tu.Ni mambo kama hayo.La kuambiwa una mwanamke wa pembeni/mwanaume wa pembeni - huwezi kukubali wala kuomba radhi...... hata siku mmoja.Hapo mtabishana hadi kieleweke.
 
Mie naona kuomba msamaha ni poa tu, kama umemkosea mwenzako kwa nini usiombe msamaha... hii ndiyo kuanzaisha resentment kibao migogoro ikaanza na taking each other for granted..... juzi Mr. nikiendesha gari...mara nishaambiwa nipack gari kando oh sijui ataendesha yeye. Ala!!!! nilinuna mpaka akaomba msamaha kwani mie mtoto!!!!! tena ikawa sitaki kumuona.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom