Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
Naturally God create us to receive
Ni nzuri kama unamuomba mlengwa lakini ni mbaya kuwa omba omba kwa kila mtu
InshaalahSidhani kama hao wenzako watakuelewa wewe utapaa mume mwema
Ukweli UPI?sidhani Kama wanawake wote ni wapenda helaEhm kuna ukweli hapo!?!?
Hahaha ile kitu ni "coming soon" banahaha unakimbia wap huko... na ile ahadi haijafika tu lol!!!
Na hawaombi hela tu!
Wanaomba hadi cologne, kofia, raba mtoni, mabegi ya mgongoni, Beats by Dre, n.k.
Hata kama hawakujui watakuomba tu...watajibebisha hadi wapate kaupenyo ka kukuomba!
Shameful and disgraceful.
Yani mm sijui niko vipi ,sijuagi Kabisa kumuomba hela mwanaume, akinipa mwenyewe sawa,Ninaweza nikasema ngoja Leo nimuombe hela mwanaume lakini nikianza kuandika SMS tu nafuta na achan na hiyo ishu.japo siwezi omba face to face.sijui na kwa wenzangu ni hivyo?
Sawa kaka EliMimi nawahurumia tu wanawake ambao, karne hii wamejiwekea mikeka mchana kutwa wakisubiri salio kupitia mpesa. Nawahurumia sana coz hata kama wanapewa 100% na waume/wapenzi wao, hawajui kesho yao ipoje.
Karne hii, japo jukumu la kuhudumia familia linabaki kwa mume, lakini ewe mwanamke, sio karne ya kukaa nyumbani kusubiri hela ya sanitary pads. Amka, nenda katafute na wewe. Huyo mume hana guarantee ya kuishi milele.
Uswazi utasikia 'baby sijala'
unajiuliza nimekutongoza jana...juzi ulikula na hela ya nani?
Mara 'nataka hela ya saloon'
ha haaaaa
Hata UK ilikuwa katika relationship, itisheni referendum.Sionagi sababu ya kuomba,ilihali Kama MTU anakupenda atakuhudumia tu.,Bahati mbaya nipo In relationship,
Wenzako wanaomba na kuwapekekea mama zao.Yani mm sijui niko vipi ,sijuagi Kabisa kumuomba hela mwanaume, akinipa mwenyewe sawa,Ninaweza nikasema ngoja Leo nimuombe hela mwanaume lakini nikianza kuandika SMS tu nafuta na achan na hiyo ishu.japo siwezi omba face to face.sijui na kwa wenzangu ni hivyo?