Kuolewa na mwanajeshi

Kuolewa na mwanajeshi

Jiandae kuwa na mitala kibao... Naongea Hilo kwa kuwa Nimetoka familia Ya Hao jamaa na kaka Zangu wote ni Wajeda lakini Hawapitwi na Pichu,,, Hasa Wanapoenda Kozi Au Mission Nje Ya Nchi.

Sikupingi...ila hyo ni fallacies kugeneralize tabia za hao watu unaowajua kwa wanajeshi wote.Kimtazamo wangu wapo hizo ni tabia za mtu...haijalishi mwanjeshi ama la...bibie amuangalie mtu wake na sikumfananisha
 
huwezi Kuona Madhara Yake kwasasa lakini siku Yatakapo kukuta utajua.. Lakini Kila la Heri Bibie...
 
Dada yangu wanajeshi ni watu kama watu wengine sio kwamba akiwa mwanajeshi anabadilika , kama ilivyo kwa watu wa kawaida wako kuna ndoa zenye matatizo na ndio zilizo salama mhh..(ila siamini kama hamna ndoa yenye changamoto sema yanatofautiana tu).
Kama umempenda na mnaelewana olewa , hao ndugu na marafiki hautaishi nao utaishi na mumeo .
 
Uamuzi ni wako angalia muda mliokaa katika mahusiano then anataka kuleta posa ndio unaomba ushauri. Vyovyote utakavyoamua ndivyo itakavyokuwa. Kuna wadada wengine wapo mitaani wanahaingaika kutafta badala ya kutafutwa. Kuna wengne wana ratiba makanisan kwaajili ya Kuombewa wapate wachumba, wewe amekuja mlangoni umeshaelewana kila kitu then unakuja kwetu kuomba ushauri eti Mwanajeshi,, tukuulize nawewe kada(carrier) yako pia isije ikawa wewe mwenyewe ni wa kudaka tu na sio kupiga.
 
eti soon atakuwa mchumba wangu, kuwa makini wenzako washaambiwa hivyo mara kibao, halafu sio unatangaza hovyo sio kila mtu anakutakia mema, kuna watu kibao humu wamejikatia tamaa,

Uko kwenye compaign nini? Hii kauli ni mara ya tatu nakuona unaitumia.
 
Kwni mwanajesh hna moyo au tofaut yke ni nn? Tabia ya mtu haitokan na profsnal yke,,, unaeza olewa na dokta na bdo ukishia kulia... Weee mwachie mjeda abebe mzgo

We hebu tumia mfano mwingine sio madaktari jamani, unatugusa wengi ati!!
 
wanajeshi wwngi hawajielewi hasa hasa ambao hawajasoma... ila ukimkuta mwenye akili zake utapenda mwenyewe...

kazi yake hainamchango sana katika ku determine future ya ndoa yenu ilimradi tu umemchunguza tabia na umemuelewa
 
Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk zangu wako against na progression yake(uanajeshi)na hii inanipa wasiwasi sana though maamzi ni ya kwetu wanasema anaweza badilika na asilimia kubwa ya ndoa nyingi za wanajeshi zimejaa matatizo ....though Mimi nimepuuza naomba Mwenye ujuzi ,ushauri kuhusu hawa watu anijuze/kunipa mwanga nisije kukosea hapa,kwani wanasema kosea yote ila sio kwenye ndoa.
2.Kwa upande wangu namuamin na napuuza hayo mameno lakin roho nyingne inaniambia inabid niwe makini na haya maamz nayokuja kuyafanya since yanahusu maisha yangu.Nawasilisha ushauri wako ni muhimu sanaaa

Ona list ya wanajeshi uchague mwenyewe. Rais Jakaya, Jaji Agustino Ramadhani, Brigedia Jenerali Ngwilizi, Kapteni Mkuchika, Luteni Lowassa, Luteni Yusuf Makamba, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Kanali Machibya, Kapteni Makongoro, naweza kuendelea? n.k.
 
Ungetufata tukushauri kabla hajawa boifrendi
 
Jiandae kuwa na mitala kibao... Naongea Hilo kwa kuwa Nimetoka familia Ya Hao jamaa na kaka Zangu wote ni Wajeda lakini Hawapitwi na Pichu,,, Hasa Wanapoenda Kozi Au Mission Nje Ya Nchi.

Wewe mchagga na jeshi wapi na wapi?
 
Kuna vitu viwili hapo, kazi na mtu. Huyo boyfriend kama ni mkorofi ni mkorofi tu, hamna namna hata akiwa anashinda home ni shida tu.

Hilo la kazi inabidi uangalie hiyo kazi ina nature gani? Kama wewe unapenda kila usiku malavidavi, ujuage tu ipo siku ataenda Congo miezi 9. I mean ujue tu, what is involved na hiyo kazi, unaweza ukayavumilia?
 
Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk zangu wako against na progression yake(uanajeshi)na hii inanipa wasiwasi sana though maamzi ni ya kwetu wanasema anaweza badilika na asilimia kubwa ya ndoa nyingi za wanajeshi zimejaa matatizo ....though Mimi nimepuuza naomba Mwenye ujuzi ,ushauri kuhusu hawa watu anijuze/kunipa mwanga nisije kukosea hapa,kwani wanasema kosea yote ila sio kwenye ndoa.
2.Kwa upande wangu namuamin na napuuza hayo mameno lakin roho nyingne inaniambia inabid niwe makini na haya maamz nayokuja kuyafanya since yanahusu maisha yangu.Nawasilisha ushauri wako ni muhimu sanaaa

Jipange kuambiwa naingia zamu siku tatu....kumbe kumbe safar ya kwa Bi.mdogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom