ugolo wa bibi
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 1,305
- 302
Ukiyavulia Nguo maji sharti ni moja tu kuoga
mwanaume ambaye ni mwanajeshi, mkurugenzi wa kampun fulani, raisi, wafalme, muuza mitumba, machinga, mchoma maindi, nk..
wote ni wanaume tu mtu hawi defined na profession yake but you get to know a person ili uwe na long term commitment nae..
my advice take your time to know the guy maana mtu kua na roho mbaya au mkarim sio kazi yake ndo inayo determine bali utu wake wa ndani...
and secondly jifunze kutambua unataka nini exactly afu ukijiridhisha unataka "A" then go for it maana kama kuolewa sio familia yako inaolewa bali wewe
one last thing goodluck gal ndoa zoote zina ups en down..
kwani unaolewa na kaz au mtu? naona hujampenda huyo mwanaume, mi ni mke wa mjeda na wala sioni tatizo.
Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk zangu wako against na progression yake(uanajeshi)na hii inanipa wasiwasi sana though maamzi ni ya kwetu wanasema anaweza badilika na asilimia kubwa ya ndoa nyingi za wanajeshi zimejaa matatizo ....though Mimi nimepuuza naomba Mwenye ujuzi ,ushauri kuhusu hawa watu anijuze/kunipa mwanga nisije kukosea hapa,kwani wanasema kosea yote ila sio kwenye ndoa.
2.Kwa upande wangu namuamin na napuuza hayo mameno lakin roho nyingne inaniambia inabid niwe makini na haya maamz nayokuja kuyafanya since yanahusu maisha yangu.Nawasilisha ushauri wako ni muhimu sanaaa
Nampenda Dada na yeye ananipenda I won't leave his side naaamini baadae familia itabid ikubaliane na Mimi.
Nampenda Dada na yeye ananipenda I won't leave his side naaamini baadae familia itabid ikubaliane na Mimi.
Well mimi binafsi ni rafiki kibao ambao ni wajeda na pia boy wangu ni mjeda wajeda hawana tatizo wako vizuri maswala ya ubabe ni hulka ya mtu
na ukibahatika kuolewa nae zipo haki kibao zinazokulinda wewe kama mkewe ikitokea "umeona amekuonea" unaweza mshitaki kwa boss wake haki yako inatetewa
Wajeda kwa wake zao ni wapole bana na wakikupenda wanapenda kwelii
Usiogope mamy sawaa ee
mahali=mahari!?Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk zangu wako against na progression yake(uanajeshi)na hii inanipa wasiwasi sana though maamzi ni ya kwetu wanasema anaweza badilika na asilimia kubwa ya ndoa nyingi za wanajeshi zimejaa matatizo ....though Mimi nimepuuza naomba Mwenye ujuzi ,ushauri kuhusu hawa watu anijuze/kunipa mwanga nisije kukosea hapa,kwani wanasema kosea yote ila sio kwenye ndoa.
2.Kwa upande wangu namuamin na napuuza hayo mameno lakin roho nyingne inaniambia inabid niwe makini na haya maamz nayokuja kuyafanya since yanahusu maisha yangu.Nawasilisha ushauri wako ni muhimu sanaaa
Inaonyesha ulikuwa unahitaji kutiwa moyo na siyo kuomba ushauri maana unapoomba ushauri mtu anakupatia kulingana na mtazanmo wake pamoja na uzoefu alionao.
Kiukweli Mke mwema au mume mwema hatokani na kazi anayoifanya bali hutoka kwa Mungu ambapo wema wake hudhihirishwa na tabia na mwenendo wake binafsi, anafanya nini akiwa peke yake, akiwa na wewe au na watu wengine. Mchunguze kama anakupenda kwa dhati mpe nafasi maana maamuzi ni yako kwakuwa atakuwa wa kwako, kama matokeo yatakuwa matamu au machungu mmezaji atakuwa ni wewe mwenyewe hivyo fanya maamuzi ambayo hutojutia. Mungu akutangulie katika maamuzi yako.