Uzuri wa ndoa sio pesa..Umekubaliana na hilo pia?Word!! Mwenye sikio na asikie
Hivi kuolewa ni dili sana??
Uzuri wa ndoa sio pesa..Umekubaliana na hilo pia?
Kwa wadada independent kama brenda18, atoto n.k it can be that easy to move on
Ila kwa wenzangu na mie I can imagine how difficult it can be. Fikiria mtu ndo anakuweka mjini, I mean unamtegemea kwa matumizi kibao, unadhani ni rahisi hivyo kumove on hata kama unaona dalili za kuolewa hazipo? siyo rahisi kama mtoa mada alivyolileta, masuala ya mahusiano yana a lot in it, kwa wengi kuolewa ni destiny tu!!!
Hivi kuolewa ni dili sana??
Thats why i only fall in love with money, shikamoo my lovely kaka, nimekumiss.
Teh teh..Nikajua katoto amebadilika..Kumbe bado ni yuleyule...Haya ma'amHili somo aisee silielewi hata ulifundishe uchi kamwe siwezi kulielewa.