brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,297
Ni vyema sana kutunza kibuyu chenye mbegu kwakuwa kinafaida kuliko kutunza kibuyu kisicho na mbegu ambacho hata ukitikisha hakitoi sauti ya kuwapo kwa mbegu ndani yake. My friend kuwa makini sana na mahusiano baina yako wewe na mbeba maono wako. Ni wadada/waka wengi leo wanaugulia umri kwakuwa walitunza sana vibuyu visivyo na mbengu kwakujipa matumaini yakuwa yamkini hakija kauka vizuri ndo maana mbegu hazilii.
Lakini kibuyu amekishikilia tangu kibichi na rangi yake ya ubichi kinamkaukia mikononi lkn hataki kukiachilia kwakua anadhani labda mbegu zake zimeganda siku akikipasua kitakuwa na mbegu. Mtu ambaye hana mawazo ya kuoana na wewe wanini kumng'ang'ania? Kuna vitu unaweza kupima kwa macho kulingana na mwenendo wa mwenzi wako ukajua kabisa kuwa huyu siyo wangu huyu.Mtu ana hadithi kama mwalimu wa chekechea!Kila siku anakuja na sera mpya kama magazeti ya kibongo!
Yanini kujipotezesha muda i hali unaona wazi kuwa huyu hanadalili njema na wewe! Wadada wengi mnamioyo ya uuguzi wakat hata hamjasomea
unaona wazi mtu siyo mwaminifu kwako haonyeshi dalili za kukuoa lakini bado unajipa ma hope labda atabadilika unangoaja abadilike na yeye anamngoja somebody amalize chuo.Usikubali kuwa wa faraja kwenye maisha ya mtu!Na usikubali kuwa wakujifunzia kazi mbali mbali za utumishi wa ndoa katika serikali ya chama cha uharibifu.
Jiwekee misimamo yako mwambie aheri kukukosa wewe kuliko kuipoteza heshima yangu na kujipotezea muda kwa mambo yasiyo na faida.Uzuri wako siyo hivyo unavyoonekana ila ni jinsi gani unajiheshimu na kujitunza.Usilazimishe maono acha Mungu ajitukuze maishani mwako.Kwakua ndoa ni ya Mungu na siyo ya watu.Badili lifestyle yako kwakuanza kuomba Mungu akusaidie.
Wengi walitumia akili zao zoote lakini hawakufanikiwa katu.Utavaa nguo na kumechi viatu na mkoba lakini kama mungu hajaruhusu uolewe na huyo huto olewa ‪#‎nka‬ jifunze kulingana na waliopita ndipo ujiambie moyoni mwako kuwa kati ya wale woote mlio ahidiana hadi leo hii nani kakuheshimu?Kuna vyakuforce lakini siyo ndoa.Heshima ya ndoa kwa muoaji siyo kwa pesa na uzuri wa nje tuu.Ila utu wa ndani na mwenendo wa mtu ndivyo vikufanye uamue.
Binafsi naamini kizuri kinatengezwa na hakuna mwanamke mbaya kabisa ila mazingira yatufanya tuonekane wachovu.Ila kuna utulivu wa nafsi ukiwa nao automatically unaanza kuwa mcute! Usijibebishe my dear tulia tulizana yupo wakukunawisha uso na kukushika mkono atatoka kwa Mungu
usitumie akili yako kuyalazimisha matatizo yakuzonge na ukimlazimisha mtu akuoe tarajia matusi na dharau katika ndoa yenu.Usikate tamaa haeleweki mpe makavu yake anza safari mpya ya kaanani ukimsihi bwana wa majeshi akupe wa kuongozana naye hadi mtakapo tengwa na kifo, na siyo kulazimisha mambo ambayo hayapo.
Nimeipenda hii, nikaona sio vibaya kushare