Nakubaliana na wewe, japo sio kuhusu lugha. Manake kuna wasiojua mother tongue zao kwa kukulia mjini. Kwenye ndoa, tamaduni ni chanzo kikubwa cha migogoro. Kama walau mnaamini kwenye same stuff (najipatia picha nnavyochukia matambiko na babangu Mtambuzi anavyoyafyagilia)
Ndugu wana JF,
Asalaam aleikum. Mmezoea kuniita mwenye matatizo lakini leo nimekuja na wazo hapa. Mi naona ndoa za wale ambao waliolea kwao au mke na mme wanatoka Mkoa mmoja naona wana raha zaidi kuliko sisi tuliooa makabila mengine haya. Kuna wakati ambapo ungapenda kuongea kilugha, lakini unashindwa. Mfano, mimi akija mdogo wangu nikiongea nae kilugha naona mke anakuja juu nakusema tuongee kiswahili. Utamu wa hadithi ni lugha, na lugha yenyewe ni ile ya mama na sio ya mke. Hili halihusiani na ukabila lahasha kwa maana upendo hauna ukabila wala dini. Lakini nahisi wenzetu wanaoongea lugha moja ndoa zao zinadumu zaidi na upendo unakuwa bomba kila wakati. Wewe unaonaje na mme wako au mke?
Ngoja nikwambie Wiliyeye, wewe kuanzia leo hii ukirudi home kama unachuki na mkeo ziondoe , na pia mkiss mkeo kama mwanzo mlipokutana.
Pili penda kucheza na kuongea na wanao , wasaidie Homework zao, yaani wewe kuwa busy na watoto wako utaona na yeye anakuja na mtaongea vizuri bila kutegemea.
Sisi wamama tukiona mwanamme anapenda sana watoto tunafarijika , Automatically tunawapenda waume zetu.
lile penzi ulilokuwa hulipati, kwa muda utaanza kulipata, kama alikuwa hakushirikishi kwenye mambo yake ataanza kukushirikisha na NDOA yako itachipua upya kama mwanzo.
Fanya hayo, Ukiwa Juu na Mkeo Yuko Juu hakutakuwa na suluhu mmoja lazima ashuke ndipo mtaelewana.
Ni sawa kabisa! Hata watoto kuwafundisha lugha mbili (ya mama na ya baba) ni shughuli; lakini kama lugha ni moja tu watoto wana-enjoy! (Ndi wa Mureba nshamba na mukazi wange wa Mureba nshamba)
hakika huu ni ukweli unaoumiza japo wengui waweza kuja na hoja za 'uongo unaoponya'Ndugu wana JF,
Asalaam aleikum. Mmezoea kuniita mwenye matatizo lakini leo nimekuja na wazo hapa. Mi naona ndoa za wale ambao waliolea kwao au mke na mme wanatoka Mkoa mmoja naona wana raha zaidi kuliko sisi tuliooa makabila mengine haya. Kuna wakati ambapo ungapenda kuongea kilugha, lakini unashindwa. Mfano, mimi akija mdogo wangu nikiongea nae kilugha naona mke anakuja juu nakusema tuongee kiswahili. Utamu wa hadithi ni lugha, na lugha yenyewe ni ile ya mama na sio ya mke. Hili halihusiani na ukabila lahasha kwa maana upendo hauna ukabila wala dini. Lakini nahisi wenzetu wanaoongea lugha moja ndoa zao zinadumu zaidi na upendo unakuwa bomba kila wakati. Wewe unaonaje na mme wako au mke?
ukiwa bara lingine, mtu wa bara lako ni wazo zuri, ukiwa nchi nyingine mtu wa nchi yako aweza kuwa wazo sahihi, ukiwa mkoa mwingine mtu wa mkoa/kanda yako ni chaguo, wilaya nk.Inategemea unaishi wapi..........ukiowa mtu wa kwenu mkae huko kwenu mkiwa huku mujini wala hakuna maana sana zaidi ya kuendekeza ukabila tu.....hicho kilugha chenu mtaishia kuongelea chumbani
Wapo wanawake ambao wakiona hilo watabadilika na kuwa wema. Think about this; una mke, unaongea kilugha na ndugu yeye anakuja juu! Ananuna mbele ya wageni, na kutamka kwamba hataki vilugha. Hafui nguo, hatandiki kitandani, haonji chakula cha mmewe kikipikwa na HG, Wala hakagui nguo za mmewe kama zimechanika au kama buttons zimekatika!
Mtu umejaribu kumwelewesha lakini imeshindikana, hata wazazi wake pia wanaona mtoto wao ni mvivu! Ndo maana nasema pengine wanaume wanakurupuka sana hapa. Ni bora uoe kabila lako kwa maana unalielewa sana.
ukiwa bara lingine, mtu wa bara lako ni wazo zuri, ukiwa nchi nyingine mtu wa nchi yako aweza kuwa wazo sahihi, ukiwa mkoa mwingine mtu wa mkoa/kanda yako ni chaguo, wilaya nk.
Kiujumla inategemea how big is the box you are in na kiwango cha uelewa na uchumi mliomo. Kazi wala sio utani!

umebugi meeeenVyote hapo vinadumu, mila na ndoa.
inadepend what I get back from doing all that,Kama hunifurahishi don't expect anything of that kind from me,wanaume wengi wanapenda kufanyiwa wakati wao hata majukumu yao hawayatimizi,
Ngoja nikwambie Wiliyeye, wewe kuanzia leo hii ukirudi home kama unachuki na mkeo ziondoe , na pia mkiss mkeo kama mwanzo mlipokutana.
Pili penda kucheza na kuongea na wanao , wasaidie Homework zao, yaani wewe kuwa busy na watoto wako utaona na yeye anakuja na mtaongea vizuri bila kutegemea.
Sisi wamama tukiona mwanamme anapenda sana watoto tunafarijika , Automatically tunawapenda waume zetu.
lile penzi ulilokuwa hulipati, kwa muda utaanza kulipata, kama alikuwa hakushirikishi kwenye mambo yake ataanza kukushirikisha na NDOA yako itachipua upya kama mwanzo.
Fanya hayo, Ukiwa Juu na Mkeo Yuko Juu hakutakuwa na suluhu mmoja lazima ashuke ndipo mtaelewana.
Kutokana na uzoefu wangu, na jinsi nilivyoitathimini ndoa yangu kama mfano, huenda ningakamata mke wa home ningekuwa na wakati mzuri sana kuliko sasa. Nadhani kilichobaki ni kutoa ushauri kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa.