Kuoga pamoja

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
wanajamii najua wengi ni wanandoa au mna wapenzi wenu
kuna mtu nilimsikia anasema kuoga pamoja kunaimarisha penzi ni kweli?
mimi uwa siogi pamoja na wife hebu nipeni dondoo na faida za kuoga pamoja
 
yani ni raha isiyo kifani unaogeshwa mgongo na ww pia unamfanyia hivyo ila cjapenda jina ulotumia la funza mke wangu cwezi kumwita hivyo inaonyesha umpendi ndo mana uwezi kuoga nae
 
Hilo jina ulilompachika mkeo si la kistaarabu kwani uliozeshwa kwa kushikiliwa mtutu wa bunduki. Acha ustaarabu wa paka ndugu.
 
Hujaoa nafikiri pia hauna mpenzi wa binafsi unao wale wa kudandia ndandia usiku tu asubuhi kila mtu kivyake. Ukishakuwa tayari utakuja hapa tukupe ushauri.
 
Kama yeye ni funza wa kike, basi wewe ni funza wa kiume.
Haiwezekani wewe mtu uoane na funza.

Hufai kua Mume wewe........!
 
wewe ni mpumbavu na mjinga. How dare you call womens not only your wife, funza wa kike? mama yako ni mbwa na si mwanamke?
 
mimi najiita funzadume ndio maana mke wangu nimemwita funza jike its just an a.k.a ninampenda sana mke wangu turudi kwenye mada check my name first sio unadandia treni kwa mbele sikuwa na maana m baya
 
wewe ni mpumbavu na mjinga. How dare you call womens not only your wife, funza wa kike? mama yako ni mbwa na si mwanamke?
futa kauli yako please kabla sijachafua monitor yako, najua kutukana so dont try
 
futa kauli yako please kabla sijachafua monitor yako, najua kutukana so dont try

Humu tunatumia hekima na wala si ujasiri wa kutukana. Ndio maana watu hawakupenda mkeo kumuita hivyo kama wewe unajiita sawa ile yeye muache abakie kuwa mkeo na sio hilo jina lenye kuchefua. Amani plz
 
Ok AK ila yeye ameniita mpumbavu, sasa ni right kwake tu kutukana OK i have changed the words up there so lets get back to the topic
 
Kuoga pamoja ni vizuri ndugu na unakosa mambo mengi. Jaribu leo na utakuja na stori nzuri.
 
Mimi bado sijawahi kuoga kama hivyo na ningependa nijaribu lakini nyumba ya kupanga ninayokaa hairuhusu.
Choo chenyewe cha shimo,maji pia hakuna,tunaingia kila mmoja na ndoo yake ,na huwa tunaingia kwa foleni.
 
Mie napenda sana na tunaishia kumegana huku shower likitusafisha jasho la mahaba
 
Mimi bado sijawahi kuoga kama hivyo na ningependa nijaribu lakini nyumba ya kupanga ninayokaa hairuhusu.
Choo chenyewe cha shimo,maji pia hakuna,tunaingia kila mmoja na ndoo yake ,na huwa tunaingia kwa foleni.

Kiujumla ni nzuri sana inajenga kuyajua vizuri maumbile ya mkeo akiwa mtupu na si kutamani mengine tena ya waliovaa. Hii pia inategemea na mahala penyewe mnapooga nyumba za kupanga ni ngumu sana hii inafaa kwa zile shower zenye nafasi na hasa zile MASTERBEDROOM!!
 
Mimi bado sijawahi kuoga kama hivyo na ningependa nijaribu lakini nyumba ya kupanga ninayokaa hairuhusu.
Choo chenyewe cha shimo,maji pia hakuna,tunaingia kila mmoja na ndoo yake ,na huwa tunaingia kwa foleni.

Hata ingekuwa bafu la nyasi! Kuoga pamoja ni muhimu! Kwa kweli mimi nikiikosa hii fursa huwa naona kama nimenyimwa tendo kabisaaaa!
 
Back
Top Bottom