Kuoga pamoja

wanajamii najua wengi ni wanandoa au mna wapenzi wenu
kuna mtu nilimsikia anasema kuoga pamoja kunaimarisha penzi ni kweli?
mimi uwa siogi pamoja na wife hebu nipeni dondoo na faida za kuoga pamoja

Funza dume unatuabisha wanandoa wenzako kaka!!! Yaani huwa hauogi na mkeo?? nakuonea huruma sana kama ndoa yako iko imara. Ni muhimu sana sasa kuoga na mkeo, si uliamua mwenyewe kumuoa??? au ulilazimishwa kaka????

OK!! KAMA BADO HUJAANZA, ANZA SASA KAKA UTAONA MATUNDA YAKE
 
Msimshutumu Funzadume labda funzajike ai mean mai wife yake ameweka ngumu kwenye hiyo department? Mnamsaidiaje?
 
What about hizi bafu zetu za uswazi? Bafu passport size.
 
What about hizi bafu zetu za uswazi? Bafu passport size.

Kwamba unaona aibu ama? asa kama waweza ingia peke yako na usione noma inakuaje uone noma uingiapo na mkeo! Wacha kujinyima raha weye!

Waswahili watasema hata iweje na chabo watapiga hata ukitundika gunia!

Nimeishi uswazi flani pale Uwanja wa taifa na geto langu likuwa karibu na baraza ambapo bahati mbaya giza likiingia vijana wanageuza kijiwe cha stori!

Sikuwapigia kelele wahame! Ni kupiga game kali na wife mwenye kusikiliza na asikie; walisikiliza wee na baada ya kuona mimi sijali kijiwe kilivunjika; kwani nilikuwa natoka kupiga mswaki na wamekaa pale kama siwaoni!

Ayaa; najinyima kujinafasi kisa wapita njia watashangaa aah wapi mwanangu! ukichukulia enzi hizo ndo tunamsaka Jr! Weweeeeeeeeee!

Hiyo pasport size kam ndo uwezo sio issue wala nini mwanawane! Unajimuvuzisha tu!
 
Kiujumla ni nzuri sana inajenga kuyajua vizuri maumbile ya mkeo akiwa mtupu na si kutamani mengine tena ya waliovaa. Hii pia inategemea na mahala penyewe mnapooga nyumba za kupanga ni ngumu sana hii inafaa kwa zile shower zenye nafasi na hasa zile MASTERBEDROOM!!

sasa Kabazi sisi hohe hahe hatu ruhusiwi kuoga pamoja.....MASTERBEDROOM si mchezo nyumba hiyo niya hela ndefu...kweli tuta baki kugongewa tu watu....
 
mmmk,kuna wababe humu JF sipata kuona.
FAIDA ZA KUOGA PAMOJA.
1.MKIOGESHANA ILE SABUNI IKITELEZATELEZA NI RAHA SANA,USIKUTE MKAANZA MECHI HUKOHUKO.
2.HUONGEZA MAPENZI......KUOGESHANA/KUSUGUANA.
3.ZILE SEHEMU AMBAZO MIKONO HAIFIKI,MWENZIO ATAOSH

HASARA
1.MNAWEZA KUANZA MECHI NJE YA MATARAJIO YENU.
2.KAMA NI NYUMBA YA KUPANGA NI KERO KWA WENGINE,HASA KAMA CHOO NA BAFU NI HAPOHAPO.
3.WASIOWATAKIA MEMA MTAKUWA MMEWAPA HOMEWORK YA KUWASENGENYA NA KUWAFITINI.
 
hiyo nzuri sana kwa kweli w/end nimeanza kupractise kuoga pamoja kwa kweli ni bomba
 
Mhh.,hata mimi nasikia ni raha sana lakini bahati mbaya sijawahi kujaribu na wala siwezi kujaribu katika nyumba ninayoishi sasa, tupo wapangaji watano na wenzangu wana watoto watukutu kweli, ukizingatia kuwa mlango wa bafuni ni wa gunia nashindwa kabisa, mwenyewe huwa inabidi nioge usiku wa manane.
 
ni kwli.......kusuguliwa kumgongo raha....uku nanihiii inakugusa gusa afu mkimaliza kuoga tu.....au mmoija akimaliza kusuguliwa mguu tu......ngoma iyumuke.teh teh....... i wsh niolewe fasta fasta ili raha hii niipate muda wote ntakao taka!!!!!!!!:target:
 
Kha................. yaanini utamu woooote uliosimulia hapo ni wa wizi! arghhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
 
Back
Top Bottom