Kuoga ni Kipaji...?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,489
Reaction score
18,372
kama ni kipaji bas wengi hawana..

haswaa wazungu teh teh!

mtu usipooga kwa siku mbili afu unaishi dar inakuwaje aisee...
kuna binadamu wanaishi kwa nguvu za body spray...

hawapendi kuoga hata kama maji yapo!!
Husninyo mpwapwa maji yapo?
 
Last edited by a moderator:
pafyum inasaidia sana siku hizi
 
Huku kwetu maji ya kumwaga tunaoga kama bata, kila wakati...
 
wewe ngoja aje Kipaji Halisi akufafanulie maana ya hicho ulichotamka hapo juu
kama ni kipaji bas wengi hawana..

haswaa wazungu teh teh!

mtu usipooga kwa siku mbili afu unaishi dar inakuwaje aisee...
kuna binadamu wanaishi kwa nguvu za body spray...

hawapendi kuoga hata kama maji yapo!!
Husninyo mpwapwa maji yapo?
 
Last edited by a moderator:
wale wenzagu wapiga mnazi akiutwika +jasho la hapo dar =mzoga wa panya
 
maji ya mgao lazima wapige manukato...
 
Kwa mimi ninayeishi K'mboni huwa nakoga mara mbili maana asubuhi huwa napiga mbizi kuja feri na jioni huwa napiga mbizi kurudi K'mboni...

cc: Nivea, Mentor
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu mzima weye,
kule kwetu moshi wanaoga maji ya moto

huko kwa akina Arushaone hata ukiwasha heater maji
hayapati moto,

dar kwa akina Bishanga sijui inakuwaje kwa kuwa muda wote
wako kwenye viti virefu.
 
Last edited by a moderator:
kwa mimi ninayeishi k'mboni huwa nakoga mara mbili maana asubuhi huwa napiga mbizi kuja feri na jioni huwa napiga mbizi kurudi k'mboni...

Cc: nivea, mentor

hahahahaha!! Utajatumbukia siku we haya!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…