Kuoga na mume au mke wako...

Tuwe wakweli jamani. Wanawake wengi (sio wote) wenye asili ya kiafrika huwa hatuoshi nywele kila siku. Wengi wetu huosha mara moja kwa wiki au kama mtu una uwezo mara mbili kwa wiki. Hii ni kutokana na hair styles tulizonazo. Mtu aliyeweka perm sio rahisi aoshe nywele kila siku. Aliyesuka pia vile vile sio rahisi. Walio na nywele natural ndio wanaweza kuosha kila siku.

sawa. na kuoga je? waoga na mpenzi/mumeo?
 
kwa mwanzoni mwa ndoa/mahusiano mtafurahia sana baada ya mda kila mtu utamuona anachukua taulo lake uyuuuuuuuuu bafuni kimya kimya...kipindi nipo kijana mdogo sijawa na mpenzi nilikuwa natamani sana kuwa na msichana ambae nitakuwa nalala nae usiku uku nikimkubatia usiku kucha. rafiki zangu walikuwa wameoa wakati huo wakaniambia wao hata hawatamani kuguswa na wake zao usiku,nika waona hawajui mapenzi kweli.kasheshe nilipo pata jiko nilikuwa namkumbatia usiku kucha ndani ya wiki moja nlichoka hata sikutamani kuguswa nae tena usiku na swala la kuoga nalo hivyo hivyo.
 
wewe pakajimmy sijui wataka usaidiwe kivipi? lazima uende shuleni ndio ujue mambo yote kwani?? all those things and many others are not rocket science...infact inaonekna wewe ndio mzushi huo dada yetu ni shwari kabisa lakini wewe ndio hushikiki!!!!! agh! nimechoka!

Shishi, Usipoteze nguvu zako kubishana na aina hii ya watu.Mwisho utaonekana una maringo kisa uko juu kama mawingu.Mwache ausemee moyo wake.
 
Kuoga na mamsap ni bomba sana hakuna tatizo lolote na mnaweza pia kunanihii ha ha ha ha wakati mnafanya usafi.

Messaging haina uprofessional wote mimi sijawahi kuingia hata darasa la hiyo kitu lakini nimeshaambiwa nafaa sana kuingia katika hiyo profession. Ni kupay attention tu na kufuata maelekezo ya mlengwa. :)

Mkuu,
Now u r talking.Inaelekea PJ hayuko exposed..na siku hizi kuna mitandao, Luninga na kila kitu na bado hawezi kujifunza maana vitabu na baadhi ya Watz Mhhhhhhh ni kama maji na mafuta.
Mwelezeni mwenzenu Jirani.Mtumieni PM mwambieni anajiaibisha kujianika alivyo hapa JF.aibu!
 
hahah mmenikumbusha comedy moja, kuwa mwanamke wa kiafrika (African American) akitengeneza nywele basi siku hoyi sahau na maswala ya unyumba maana anakuwa hataki kuharibu staili ya nywele zake.

Kwa wale wanaokaa nyumba za kupanga na kushare bafu na watu 10 kidogo inakuwaje sasa?
 
Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
Hakuna kitu kama hiki
Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
Aaaahhhhh!!

mkulu,najua unachosema hapa wabeijing wengi watakuwakia lakini upo sawa kabisa,wanawake wengi ni wachafu tena hawa wa kizazi kipya ndio kabisaaa,unakuta mwanamke anakwenda ****** kukojoa akimaliza anapandisha chupi yake kisha huyoo,hajui hata kunawa?
 
Tuwe wakweli jamani. Wanawake wengi (sio wote) wenye asili ya kiafrika huwa hatuoshi nywele kila siku. Wengi wetu huosha mara moja kwa wiki au kama mtu una uwezo mara mbili kwa wiki. Hii ni kutokana na hair styles tulizonazo. Mtu aliyeweka perm sio rahisi aoshe nywele kila siku. Aliyesuka pia vile vile sio rahisi. Walio na nywele natural ndio wanaweza kuosha kila siku.

TZ female jiangalie wenzio watakwambia unatoka Msanga.......! hahahahaaaa!
 
Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
Hakuna kitu kama hiki
Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
Aaaahhhhh!!
pakajimmy unatoa siri zako za ndani......mtunzie mwenzio siri......
 
mkulu,najua unachosema hapa wabeijing wengi watakuwakia lakini upo sawa kabisa,wanawake wengi ni wachafu tena hawa wa kizazi kipya ndio kabisaaa,unakuta mwanamke anakwenda ****** kukojoa akimaliza anapandisha chupi yake kisha huyoo,hajui hata kunawa?

hivi haya mambo mnayaonea wapi...hamna watu wachafu kama wanaume...mara kujikuna kuna and u gys NEVER wash your hands after visiting the loo..... lets see nani atanipinga!!!
 
hivi haya mambo mnayaonea wapi...hamna watu wachafu kama wanaume...mara kujikuna kuna and u gys NEVER wash your hands after visiting the loo..... lets see nani atanipinga!!!
tehe tehe umenikumbusha....day moja niko nasubiria kyepe yai basi nikamuona jamaa msela kaanza kujikuna kicchwani..sikujali..akahama akaanza kujikuna balls zake kisha anageuza kyepe....hapo akachukua yai na mkono ule ule katoka nao uvunguni una ukungu wa hudhurungi.......nikasema balaa hili nikaondoka bila kuaga......niliskia kichefu chefu saaaana
 
Jamani tusiuane humu ndani,suala la usafi linategemea mambo mengi yakiwepo mazingira,utamaduni,kipato,malezi,imani,utashi wa mtu binafsi,hulka na mengine kama hayo. Ku generalize kwamba 'wanawake ni wachafu' au 'wanaume ni wachafu' tunakuwa hatutendeani haki.Wadau si mnajua kwa makabila mengine kujipaka udongo ndio usafi au kujipaka mafuta ya ng'ombe mazito yale ndo usafi.Linaloweza kuonekana kwako ni uchafu si ajabu kwa mwenzio ndo manjonjo. Tustahimiliane wadau!
 
Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
Hakuna kitu kama hiki
Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
Aaaahhhhh!!

JAMANI KWA MTAZAMO WANGU HIZI NI FRASTRATION NA SIO VINGINEVYO.........KUNA USEMI UNASEMA HIVI" WE ARE CAPTIVES OF OUR OWN IDENTIY AND PRISONERS OF OUR OWN CREATION please take care my friend there is more why you don't want to shower with your WIFE
 
Wakuu nisaidie hivi kuna umuhimu wowote wa kuoga na mke wako?au ni fasheni tu!!!
Jaribu kuoga na mumeo/ Bf uone je kuna raha au vp?
Kwa upande wangu naona ni vizuri maana nayo ni njia mojawapo ya kuwa jirani na mpenzi wako, vile vile inafanya penzi lenu lizidi kuimarika. Kama ujuavyo kuna njia mbali mbali za kufanya penzi lionekane jipya kila siku. Hii nayo ni mojawapo,sio muwe watupu kitandani tu, inabidi muonane utupu wenu hata mkiwa bathroom mna take shower.
 
Massaging is a proffession for your info!
Wanawake wengi hawajui hata inaanzia vipivipi...!
Msiseme tena nawajia juu, hasa akina Wos na M`Jamii1, huo ndo ukweli bana!

...... Ehee sasa mie hapo juu nimeangukia katika kundi gani hapo? La wasiojua massaging inapoanzia au la kuksema unatujia juu?.. makubwa
 
Lakini ukweli unabaki pale pale idadi kubwa ya wanawake ni wachafu sana kwa ndani namtetea jamaa hapo juu huu ni ukweli nani hapa ajitokeze aseme ukweli katoka kusuka Rasta kwa mmasai alafu akaosha kichwa siku hiyo aseme hapa.

kisa ni nini mpaka usukwe nywele za kusokotwa na mate?mmhh na wewe unanitia aibu na hao wanawake wako bwana khaa
 
...... Ehee sasa mie hapo juu nimeangukia katika kundi gani hapo? La wasiojua massaging inapoanzia au la kuksema unatujia juu?.. makubwa

MwanajamiiOne

Kwa ufupi wewe sijui manjonjo yako yanafananane, hasa ukiwa kwenye 18 zako!!!he he heeeeheeeee...watuuuuuuuuu!!

Lakini , kwa wanawake wengi, masssaging ni kama kwenda kwenye mwezi, hawaijui!

Kwani uwongo?

Nenda Kwenye Massaging Parlour kibao hapo kwenu, uone wababa waziiima na ndoa zao nzuuuri, na wake zao wareembo ajabu, lakini mababa hao wanagalagala kama nyangumi pindi wanapo`massejiwa na warembo wa humo..

Akitoka hapo yuko freeesh, wala hana habari na karaha za huyo anayejiona mrembo wa nyumbani..!
 
kisa ni nini mpaka usukwe nywele za kusokotwa na mate?mmhh na wewe unanitia aibu na hao wanawake wako bwana khaa

Nini mate dada ushawahi kuwaona wale wa pale Ilala walivyowachafu? sipati picha mtu akiwa anasukwa kisogoni mana yabidi uwageukie kichwa unaweka katikati ya mapaja yao ... mh! Ama kweli urembo kazi!!

Hehe dada nimekumbuka haya uninambia nikukumbushe maana unaniicourage kuwa sometimes kuwa 'mkorofi' inalipa.....
 
Back
Top Bottom