fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,553
- 9,033
Huwa nafanya hivyo ili shati likae vizuri kwenye surualiSafii...nimependa hapo kwenye kuchomekea shati ndani ya pichu
ww ni ke au me?1.KUOGA
Usafi ni passion yangu toka nikiwa mdogo,japo mama yangu pia alichangia kuniongezea mbinu za usafi.
Kabla sijaoga mie huandaa nguo za kuvaa,kuanzia chupi,suruali,shati,soksi,viatu na leso.
Na kwa sasa situmii bomba la mvua,kwakuwa napenda kuchanganya maji ya kuoga na dettol japo siweki nyingi.
Na pia huoga kwa awamu 2,awamu ya kwanza naanza kichwa,uso,mikono hadi usawa wa kiuno.Najisafisha vizuri na ndipo nakuja awamu ya 2 ambapo naanzia kiuno kuja hadi miguuni,nasugua nyayo vizuri na nikimaliza natoka bafuni na kuja chumbani ambapo naufuta mwili kwa taulo la pili,lile la bafuni hubaki huko na chumbani lipo taulo jingine.
2.KUVAA NGUO
Uvaaji wangu wa nguo huanza kuvaa chupi,halafu naavaa shati ambalo hulichomekea ndani ya chupi na ndipo huvaa suruali,nafunga mkanda wa suriali na kujitazama kwenye kioo,ndipo navaa soksi na kutoka chumbani,nikiwa na slippers hadi kwenye meza ya chai,nikimaliza chai navaa viatu na kuondoka.
Viatu huwa naandaa mwenyewe toka usiku,kama ni rangi ntapiga,kama nikufuta tu ntafuta mwenyewe.
Vipi wewe mwenzagu usomae uzi huu,huwa unafanyaje?
Mwanaume si unaona aftershave nayotumia ni old spice naitumia kwa zaidi ya miaka 30 sasaww ni ke au me?
We kwani mie ke?tena mie ni babu hivi sasa,japo japo passion ya usafi iko palepaleFimboyaukwaju me nikajuaga we ni me! Kumbe me bado mgeni humu JF
ko unavaa chupiMwanaume si unaona aftershave nayotumia ni old spice naitumia kwa zaidi ya miaka 30 sasa
Kwani si kuna chupi za kiume bro,wewe unadhani chupi ni za kike tu?ko unavaa chupi
Chupi unavaa mtoto wa kiume!? hii imekaaje wakuu1.KUOGA
Usafi ni passion yangu toka nikiwa mdogo,japo mama yangu pia alichangia kuniongezea mbinu za usafi.
Kabla sijaoga mie huandaa nguo za kuvaa,kuanzia chupi,suruali,shati,soksi,viatu na leso.
Na kwa sasa situmii bomba la mvua,kwakuwa napenda kuchanganya maji ya kuoga na dettol japo siweki nyingi.
Na pia huoga kwa awamu 2,awamu ya kwanza naanza kichwa,uso,mikono hadi usawa wa kiuno.Najisafisha vizuri na ndipo nakuja awamu ya 2 ambapo naanzia kiuno kuja hadi miguuni,nasugua nyayo vizuri na nikimaliza natoka bafuni na kuja chumbani ambapo naufuta mwili kwa taulo la pili,lile la bafuni hubaki huko na chumbani lipo taulo jingine.
2.KUVAA NGUO
Uvaaji wangu wa nguo huanza kuvaa chupi,halafu naavaa shati ambalo hulichomekea ndani ya chupi na ndipo huvaa suruali,nafunga mkanda wa suriali na kujitazama kwenye kioo,ndipo navaa soksi na kutoka chumbani,nikiwa na slippers hadi kwenye meza ya chai,nikimaliza chai navaa viatu na kuondoka.
Viatu huwa naandaa mwenyewe toka usiku,kama ni rangi ntapiga,kama nikufuta tu ntafuta mwenyewe.
Vipi wewe mwenzagu usomae uzi huu,huwa unafanyaje?
Mimi ni mwanaume na nipo vizuri tu unapowaza sikoWewe siyo mwanaume, uko ukingoni kuleft group!
Jishitue mapema uiahi.kama wanaume wenhine.
Too much little little details with nonsense in them
chupi ni nguo ya ndani ya mwanaume au mwanamke,kwa lugha ya kiswahili,kwa kiingereza ni underwear na wengi wanaume hutaja boxer lakini boxer ni kwa kiingereza kwa kiswahili ni chupiChupi unavaa mtoto wa kiume!? hii imekaaje wakuu
N A K A Z I Aww ni ke au me?
kwa kiswahili boxer ni nini?Wanaume si huwa mnavaa Boxer au Mi mgeni 🤒