pisi jacky
Member
- Oct 21, 2020
- 32
- 141
- Thread starter
- #21
Huna habar masista siku izi wanajiajil we unasali parokia gan weweKumbe unasomea usista huku una kazi yako mwenyewe!!? Dah! Hii ndiyo Bongo
Huna habar masista siku izi wanajiajil we unasali parokia gan weweKumbe unasomea usista huku una kazi yako mwenyewe!!? Dah! Hii ndiyo Bongo
Pakawaida tu tena pakwangu sishei na mtu basi tu yaan nkizaa mtoto wa kiume akachukua hii akili angu sijui itakuajeSwala SI kuoga nafikiri miundombinu ya bafu si rafiki kwa namna moja au nyingine
Huna wakushea nae labda? Nafikiri pia hili nalo ni tatizo jingine linalochoche kutopenda kuogaPakawaida tu tena pakwangu sishei na mtu basi tu yaan nkizaa mtoto wa kiume akachukua hii akili angu sijui itakuaje
Hahaha aisee nilisahau, nikweli sista pisi jackyHuna habar masista siku izi wanajiajil we unasali parokia gan wewe
hapo kweli co sawa ila maMEN tukiwa wenyewe tu siku2 kawaida hatuogi ila kuendelea mbele ni uchafu labda uwe sehemu za baridi sana. Ni mawazo yangu tu lakiniIvi inawezekana kila mtu azunguke siku nzima afu usiku tulale kitanda kimoja bila kuoga
Kuoga si lazima hata katiba ya JMT haijazungumzia suala la kuoga. Ni utashi wa mtu aoge au asioge.Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.
Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
Sio bure ww utakua uanatumia madawa ya kulevya , maana watumiajia wengi Wa hicho kilevi hua hawapendi kuogaJamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.
Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
wewe ungekuwa na allergy kama mimi usingeoga kabisa, me nikitoka kuoga nawashwa hatari lakini nishazoea lazima niogeJamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.
Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.