Kuoana mkiwa bikra

Kuoana mkiwa bikra

Watu kama hao wakisikia habari za jinsi wengine walivyowatamu au wanavyokuna ni lazima achepuke. Na akichepuka awezi kutulia tena. Kuliko nioe mwanamke bikra ni bora nisioe kabisa.
 
Mwanaume bikira simtaki. Yaani ajifunzie kugegeda kwangu ,halafu field akafanye pengine na ajira akachukue pengine.
Sitavumilia huo ujinga.
Nahitaji kubuhu ambaye ameshamaliza field
Mimi nimekubuhu. Nimeshaenda field na kazi nilishafanya ila nimefukuzwa. Nina experience sana bidada. Karibu
 
Cjabahatika kupata dem bikra.. Kila naempata nakuta used tuuu.... This is BULL SHIIT...

Siwezi kuoa janamke used kamwe!! Labda NIFE.
Habari za kuambulia makombo ya shahawa za wanaume wenzio huo ujinga sitaki tena.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Utaibiwa bikra original zimeadimia sana mkuu,bikra nyingi ni za kichina kwa sasa kutafuta bikra original ni sawa na kutafuta jela.
 
Mpenzi/mkeo alikukuta una bikra?

Mwana unakua MSHAMBA Utadhani mwanaume wa mikoani akija Dar.

Nani alikuambia kuna vocabulary ya "bikra" Kwa mwanaume!!
Unampimaje kwanza....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Mwana unakua MSHAMBA Utadhani mwanaume wa mikoani akija Dar.

Nani alikuambia kuna vocabulary ya "bikra" Kwa mwanaume!!
Unampimaje kwanza....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Basi tuliza ngebe kama we mwenyewe huna hiyo bikra unayoililia....
 
Vijana wa sasahivi mnazingua sana hela wengi wenu hela hamna kazi kulia lia na kupenda slope tu
 
Endelea kuambulia makombo ya shahawa za wanaume wenzio bwege wewe!!!

Demu unamgonga anavuta image ya lijamaa lililo mfumua BK...
Wenzio wamemwagiamo weee... Wamepiga mitungo kibabe, mjinga unakimbilia mabaki..

Hakika wewe utakua mwanaume fala. Fala sana.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Shauri yako, sipo kundi moja la hao unaowasema fala. Nimeshafumua kadhaa mpaka sasa kwa taarifa yako Mkuu.
 
mkuu wewe bado? kuja PM tukaimarishe amri za MUNGU.
 
Habari wana MMU,

Kuna faida sana mkioana mkiwa wote hamjawahi fanya tendo la ndoa. Yaani mume na mke wote mko fresh kabisa.

~Mnapata nafasi nzuri na adimu ya kujifunzia kujamiiana kwenye ndoa. Ina raha yake sana maana wote mnafundishana.

~Mnakuwa na honeymoon yenye uzito au thamani sana kwa kuwa hamjawahi kufanya tendo hilo.

~Mnakuwa hamna habari za x yaani hakuna cha wapenzi wa zamani, hakuna cha kutoa mimba, hakuna watoto wa nje n.k

~Nyinyi wawili ndiyo mnajuana viungo vyenu tu, hamjui vya wengine vikoje. Hivyo kuwafanya kuwa na kuridhika moyoni.

~Mnaaminiana sana.
~Mnakuwa huru sana kwenye njia zenu za mawasiliano kama simu, mitandao ya kijamii n.k.

N.k

Nimeona niwatie moyo wale ambao hawajawahi kufanya tendo la ndoa. Subirini mje mfaidi uhusiano wa namna hii ambao ni adimu sana siku hizi.

Ninayaandika haya kutoka katika uzoefu wangu mwenyewe. Tulioana na mwenzangu tukiwa hatujawahi fanya tendo la ndoa.
mtazaa watoto wengi sana
 
Mwanaume bikira simtaki. Yaani ajifunzie kugegeda kwangu ,halafu field akafanye pengine na ajira akachukue pengine.
Sitavumilia huo ujinga.
Nahitaji kubuhu ambaye ameshamaliza field

Wote mnakuwa mnajifunza. Na kumbuka hapo ni baada ya kuoana. Darasa hilo ni zuri hujawahi kuona.

Na kizuri zaidi hamjui wengine wakoje, na kwa vile hamjui haiwaletei shida kwenye ndoa yenu.

Ujajua binadamu hatufanani na viungo vyetu vya siri pia ni tofauti. Hivyo mtu akiwa anaonjaonja si rahisi kuacha kwa kuwa kila atakayekutana naye ni tofauti.

Kwa mabikra nawashauri jitunzeni. Msikatishwe tamaa na waliokwisha anza haya mambo. Muda utafika mtafurahia mapenzi sana kwa uaminifu na wake/waume zenu.
 
Asante kwa kuwatia moyo watoto wetu kwa niaba, maana mpaka waje wauone huu uzi na bk zishatolewa tayariii
 
Watu kama hao wakisikia habari za jinsi wengine walivyowatamu au wanavyokuna ni lazima achepuke. Na akichepuka awezi kutulia tena. Kuliko nioe mwanamke bikra ni bora nisioe kabisa.

Ninaposoma thread mbalimbali hapa jf hunisaidia sana kujua mbinu mbalimbali zinazotumika kumnasa mtu mume/mke ili amsaliti mwenzake.

Hivyo kuweza kuepuka mazingira mbalimbali hatarishi ya kushawishika kusaliti ndoa yangu.
 
Unajua humu jf tuko wengi na rika tofauti tofauti. Pia nimewahi ona maswali kadha wa kadha ya wale waliojitunza wakijiona kama hawafanyi jema. Nikasema acha niwatie moyo, wasije wakadhani humu jf hakuna wanandoa waaminifu.

Pia wasije wakadhani kila mwanamume ana mchepuko na wasije wakadhani hakuna wanandoa wanaofuata taratibu zilizokuwepo za kusubiri hadi siku ya ndoa ndipo mnajifunza pamoja.
 
Back
Top Bottom