Uyui HB
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 553
- 512
Mi nilipata bikra Akawa Malaya tena ni mtoto wa Mchungaji, nikasema isiwe Shida nikaenda zangu dar nikachukuwa Malaya mkuu Leo ni mke wangu na Heshima zake,,Hata mungu pindi anamuumba malaika ambaye Leo Ni shetani hakujua kama badae atageuka kuwa Adui wake mkuu ,So watoto tu ndo Wanakomaa na bikra ,Nimesoma comment njamaa anakoment mpaka povu ,Ila ukikuwa utakuja kutusimulia hata,