Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,412
- 10,923
Jokajeusi katika ubora wake...joka Kama jokaKama umemkuta Bikta huna haja ya kuwa na wasiwasi.
Jokajeusi katika ubora wake...joka Kama jokaKama umemkuta Bikta huna haja ya kuwa na wasiwasi.
Kwa sababu una makubaliano na Mungu kuwa utafikisha miaka 70 sio? Pia hakuna ndoa inayobarikiwa bila kufungwa!Atabariki ndoa akifika Miaka 70...anaongoza na wajukuu wake
Jokajeusi katika ubora wake...joka Kama joka
Sawa usijali utaoa mbinguni.Wasalaam wakuuu,
Aisee huyu mwanamke kanizalia mtoto mzuri tu wa kike ana miezi miwili tu ila nikifikiria ishu ya kuoa napata wasiwasi sana maana moyo wangu haumwamini mwanamke yeyote hata kidogo.Naogopa ndoa 100% maana sipendi kuoa zaidi ya mara moja.
Tuwe wachumba tu hata kwa miaka 7 hata kama tukizaa watoto wengine kwenye uchumba, hela mimi nitakupa ila sio ndoa kwa haraka hivi. Siwezi nisamehe!
KweliKwa sababu una makubaliano na Mungu kuwa utafikisha miaka 70 sio? Pia hakuna ndoa inayobarikiwa bila kufungwa!