Kuoa si jambo dogo kwa mwanaume

Kuoa si jambo dogo kwa mwanaume

HUYU NI MPUMBAVU...NA WAPO WAPUMBAVU KAMA HAWA WENGI TU...
Eti naogopa kuoa Tukiachana majirani watasema. Kwani saivi mkiachana Bila ndoa ndo hawatasema? Tena wanasema matoto ya nje ya ndoa haya..wazazi wao hawajawai Kuoana.

Mwanaume mwingine dhaifu. HIVI Mwanaume ulietimia unashindwa fanya maamuzi kwasababu ya flani atasema?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..Bora Angesema ameshindwa tabia za huyo mwanamke.
 
Watu wengi wapo kwenye ndoa sababu ya uoga/fear ya kuachana watawaambia nin watu...sisi ni binadamu unaweza oa leo kesho ukawa mwingine ukabadili maamuzi sasa ukijifunga haraka haraka utakuwa na fear ya kuachana
Nadhani labda hujapata mtu sahihi. Huyo mwanamke ataitwa single mother soon.
 
Kuishi na mwanamke pasipo ndoa ni uzinzi na kwetu sisi wakristu wakatoliki hautoruhusiwa kushiriki Sakramenti kwa kuwa unaishi katika hali ya dhambi na hata ikitokea ukafa bahati mbaya utahesabika kama "mzinzi" na utabaki na dhambi hiyo.
Atabariki ndoa akifika Miaka 70...anaongoza na wajukuu wake
 
Eti naogopa kuoa Tukiachana majirani watasema...kwani saivi mkiachana Bila ndoa ndo hawatasema?.. Tena wanasema matoto ya nje ya ndoa haya..wazazi wao hawajawai Kuoana.

Mwanaume mwingine dhaifu...HIVI Mwanaume ulietimia unashindwa fanya maamuzi kwasababu ya flani atasema?..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..Bora Angesema ameshindwa tabia za huyo mwanamke.
Hiyo ya kuogopa kuachana wazazi watanionaje ni nyongeza, ila wanawake wana madudu mengi mi nitamuacha mapema sana
 
Hiyo ya kuogopa kuachana wazazi watanionaje ni nyongeza,ila wanawake wana madudu mengi mi nitamuacha mapema sana
Min naona Sio huamini wanawake, humuani huyo uliyenae. Sasa sijui mtaishije.
Tafuta mwingine utakae mpenda kwa dhati na ukaona fahari kumuita mke wangu halali wa ndoa. Kila la kheri mkuu
 
Ha ha ha h

Nakuona km vile ukweni umepata booonge la shinikizooo. Afu unakuja kulialia huku as if sie wazazi wako.

Mpk hapo ushaoa

Ulitakiwa tu useme hutaki kuacha uzinzi.
 
Eti naogopa kuoa Tukiachana majirani watasema. Kwani saivi mkiachana Bila ndoa ndo hawatasema? Tena wanasema matoto ya nje ya ndoa haya..wazazi wao hawajawai Kuoana.

Mwanaume mwingine dhaifu. HIVI Mwanaume ulietimia unashindwa fanya maamuzi kwasababu ya flani atasema?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..Bora Angesema ameshindwa tabia za huyo mwanamke.
الحمد الله
Kwa neema ya kuwa mwanaume wa kiislaam nayejitambua...
 
Min naona Sio huamini wanawake, humuani huyo uliyenae. Sasa sijui mtaishije.
Tafuta mwingine utakae mpenda kwa dhati na ukaona fahari kumuita mke wangu halali wa ndoa. Kila la kheri mkuu
ANATUPOTEZEA MUDA NA NGUVU TU HUYU...

HAPA HAKUNA MWANAUME HAPA...KUNA KATOTO TU HAPA KANACHEZA NASI...
 
Back
Top Bottom