Kuoa si jambo dogo kwa mwanaume

Kuoa si jambo dogo kwa mwanaume

Hahah hapana sijaoa,kuoa naogopa sana mbele ya watu afu siku mambo yameharibika nitawaambia nin watu.

Mimi sio malaika kuachana ni kitu kidogo nitawaambia nin watu
Masikini. Watu hua hawaogopi watu wanamuogopa Mungu.

Pole Sana bwana hero100 kwa kuogopa kufanya Jambo la kheri kwa kuogopa watu. Naamini hao watu watakusifu Sana kwa kuzaa Watoto lukuki wa ZINAA
 
Watu tunaogopa kuoa sio hatupendi majukumu hapana,tunaogopa mkiachana mtawaambia nin familia,majirani,waumini kanisani na marafiki
Mkuuu. Watu hawafanyi Mambo kwakua eti yakiharibika. Mchungaji na mzazi watasema Nini.

Huyo mchugaji wako kaoa huyo Mama yako kaolewa, huyo mpendwa mwenzako kaoa. Mbona wao hawakuoa kwa hofu ya wewe utasema Nini Mambo yakiharibika?

Unaujuhaa Fulani hivi ndani mwako
 
Umwambie huyo bidada kuwa hauko teyari kumuoa kwa Sasa..na umpe Hizo sababu zako za kihanithi.

Ili nayeye ajue afanye nini usimdanganye kwa ahadi za uongo ukamzeesha bure. Kuzaa Sio kilema akatafute mwanaume Alie kamili. Mwenye kufanya maamuzi Magumu. Sio Wewe muogopa watu...ptuuuu
 
NDOA SI JAMBO DOGO TU. ILA WEWE NDIO MDOGO SANA.

ALAFU NI MPUMBAVU MKUBWA, KAMA ULIKUWA HUNA IMANI NA WANAWAKE, KWANINI ULIENDA KWA MWANAMKE WA WATU UKALETA MWANAMKE DUNIANI?
 
HUYU NI MPUMBAVU...NA WAPO WAPUMBAVU KAMA HAWA WENGI TU...
Watu wengi wapo kwenye ndoa sababu ya uoga/fear ya kuachana watawaambia nin watu...sisi ni binadamu unaweza oa leo kesho ukawa mwingine ukabadili maamuzi sasa ukijifunga haraka haraka utakuwa na fear ya kuachana
 
NDOA SI JAMBO DOGO TU, ILA WEWE NDIO MDOGO SANA.

ALAFU NI MPUMBAVU MKUBWA, KAMA ULIKUWA HUNA IMANI NA WANAWAKE, KWANINI ULIENDA KWA MWANAMKE WA WATU UKALETA MWANAMKE DUNIANI?
Ahsante kwa kutambua ndoa sio jambo dogo
 
Hahah hapana sijaoa,kuoa naogopa sana mbele ya watu afu siku mambo yameharibika nitawaambia nin watu.

Mimi sio malaika kuachana ni kitu kidogo nitawaambia nin watu
Dah!...mpaka umekuwa baba lakini unaogopa watu? hii hatari.
 
Kuishi na mwanamke pasipo ndoa ni uzinzi na kwetu sisi wakristu wakatoliki hautoruhusiwa kushiriki Sakramenti kwa kuwa unaishi katika hali ya dhambi na hata ikitokea ukafa bahati mbaya utahesabika kama "mzinzi" na utabaki na dhambi hiyo.
 
Back
Top Bottom