Mfano wewe huwezi kujenga maisha yako wakati Mama yako na wadogo wanalala sehemu duni lazima utataka uboreshe maisha ya nyumbani Kwanza ndiyo uwaze kujenga maisha na mwenza wako miaka mingi mtakuwa mnadili na matatizo ya familia zenu kuliko kudili na kujenga uchumi wa familia yako na mwenza wako, nitofauti ukioa au kuolewa na mzungu chakwanza mtapanga mipango pamoja ya kiuchumi na kifamilia na hata mwenza akitangulia mbele za aki huwezi kusikia migogoro ya kugombea mirathi kutoka upande wa wazazi na ndug.
Sent using
Jamii Forums mobile app