Mazingira
JF-Expert Member
- May 31, 2009
- 1,833
- 298
<br />
<br />
mchaga tu ndio sumu eti,wanatoa mifano ya wandugu waliooa wachagga b4 wakawekWa under control,then wanasema wachaga wana destur ya ku separate ukoo na kum dominate mwanaume na mwnaume ana base totaly on his wife's destination nk.
Mkuu hili kwa kiasi fulani nakubaliana nao kwani nami nina mifano kadhaa ya namna hii. Yuko Prof mmoja hapo UD yeye kajenga huko migombani, bamkwe akitaka kuja Dar anakuja kwa ndege wakati baba yake mzazi kutoka huko Ukerewe anakuja kwa treni na inasemekana hajafanya cha maana huko kwa baba yake mzazi. Kwahiyo ndugu wakiona mfano huu lazima waogope japo si wote kwani wako waliooa wachaga na hawajawa dominated na ukweni na wanaishi vizuri tu.