Kuoa mwanamke wa kichaga

Kuoa mwanamke wa kichaga

Kaka siku hizi makabira ni majina ,tu kuna dada wa kichaga namjua mambo yake ni pure mzaramo.Wewe ndiye muoaji hauoi ukoo.kama unaona anafaa beba mzigo

...lol....mchagga mzaramo!....jana nilisema mchagga wa Tanga nusura nitolewe jicho!
hivi mnaowahukumu wamachame,...kuna mmachame mwenye ahueni, au wote sawa?
'Samaki mmoja akioza,....!'
 
haya bwana.mie siweza kufanya research humu sababu nimegundua nikiuliza hamna atakayenijibu na ushahidi kuwa katembea na wadada wa kichaga kama wewe ulivyofanya,research yangu naipredict majibu yatatatokana na hearsay so i wont bother hamna majibu!
Mmm ! try me
 
ushauri wangu unategemea na wewe mwenyewe kama unampenda usimwache na kama humpendi achana nae.
 
Muache dada yangu hasije pata taabu bure kwenu huko kwa unyanyapaa..dada wa watu utakuta mchagga jina tu kakulia mjini maisha yake yote ka mtoto wa kizaramo, lakini kwa vile ana surname ya 'Riwa' basi inakuwa taabu! Tumechoka waChagga bana..Wezi sisi, Wauaji sisi, Wakabila sisi, Chadema sisi...aargh!
mhhh!na kweli kaka angu
 
Wewe ndo unaoa amua kivyako lakini ukitaka kujua kwa undani hautaoa abadani.
 
ndugu Zangu wanajf,nipo katika wkt mgumu wa kuamua nifanyeje kutokana na hali ilvyo,nina mpenz wangu na ninampenda sana naye pia naamini ananipenda pia, ni kabila lake, yaani ndugu, jamaa na marafik hawataki kusikia kabila hlo kabisa,uamuzi wa kuoa upo mikonon mwangu lakn kwa vile maisha hayaeleweki.

Nahofia hatapata support yoyote kutoka kwa ndugu kwnye malez na matunzo ya wanangu endapo nitalazmisha ndoa kisha nikaondoka duniani kabla yake make maisha hayaeleweki kesho ktatokea ktu gani,ndugu zangu nishaurin nifanyeje,either nimuache au nimweleze wazi ajue lakn nitamwachaje bila kosa?

Dondoshen ushaur wa maana bandugu coz ths is jus a ver sensitive issue!

Pole sn lakini lisemwalo lipo na kama halipo linakuja! najua sio wachaga wote wenye tabia mbaya lakini mmoja tu ndio aliechafua jina la wachaga wote kama tujuavo samaki akioza mmoja wameoza wote! nina mfano wa kuuona kabisa, kuna mchaga tupo nae ofc moja basi kadi za gari, hati ya kiwanja vinakaa katika draw ofisini anaogopa kuviacha nyumbani sababu vya kwake yeye asije akafa akarithi mmewe ambae sio mchaga, upo hapo kaka? ndio maana wakubwa wanakuambia usioe mchaga mi nakushauri muoe wa kabila lako mtaendana sana tu
 
Wanawake wa- kichaga tumebarikiwa kuliko wanawake wote. Na usawa huu wa hali mbaya ya uchumi tuko juu ile mbaya aisee chali yanguu. Mapenzi/sita kwa sita na blaaa blaa zote tutajifunza mbonaa. Tanzania bila Mangi's haiwezi kukamilika lol
 
dah ila na nyie wachaga hapana bana,badilikeni basi kwanini ninyi tu ndo msemwe?

Vizuri vyajiuza, vibaya vyajitembeza l.o.l. Kama ni wabaya si muwaacheeee ! Kwani kuna aliyelazimishwa! Ukiwa wasema mwanamke wa kichaga wa nini mwenzio anawaza unamwacha lini amchukue lol.... Kutwa kucha watu hawapumui wanawajadiliwa wachaga...
 
Mwe sikubishii Mpatanishi bahati mbaya nina kiherehere cha kujua chanzo zaidi ya ushuhuda. Kwa nini wamachame, kwa nini wawe hivyo, je kunasocio-cultural factor yoyote inayopelekea wao wawe hivyo??<br />
<br />
By the way, ni wamachame wa kike tu wenye matatizo au hata wanaume wao maana mie binti, kigori so naolewa si kuoa Mpatanishi.\ kaka yangu<br />
<br />
Pole kwa mjomba

kwa wanaume tabia yao ni wagomvi japo si wote bt % kubwa wapo hvyo. Cku akirud kapigwa chupa bar usishangae wao ni kawaida.

Kingine akikuoa mkewe wa kwanza ni pesa, mke wa pili ni pombe then mke wa tatu ndio unakua ww.
Na abt mauroda hua anakupa anapotaka yeye na sio wewe! Jiandae kuwa mtafutaji no matter una job na mshahara mkubwa vp lakin biashara lazima iwepo hata kuuza kagenge maana kwao pesa ndo kila kitu.
 
Wanawake wa- kichaga tumebarikiwa kuliko wanawake wote. Na usawa huu wa hali mbaya ya uchumi tuko juu ile mbaya aisee chali yanguu. Mapenzi/sita kwa sita na blaaa blaa zote tutajifunza mbonaa. Tanzania bila Mangi's haiwezi kukamilika lol

sikatai wachaga mpo juu bt dosari ni kwa wamachame tu.
Mimi nikipata mmarangu, mwika,rombo hata mahari ya 5 mill nalipa bt mmachame No sidanganyiki hyseeee
 
Sifa za wadada wa kichaga

Mmachame - chako ni chake na chake ni chake. Ukitaka kubadili hiyo principle anakutoa roho
Mmarangu - lazima uwe na ela, kama huna anatafuta kidumu chenye ela na ukiongea anakumwaga
Mkibosho - anajua kutafuta ela lakini anaimiliki pamoja na ndugu zake, ukiuliza unaweza wahishwa ahera
Muuru- hajali maisha yakoje, muwe maskini, muwe matajiri poa tu, hana ushauri wala hajitumi.
Mrombo - hapendi umaskini, anapiga kazi balaa kutafuta ela. Wapole lakini wanafiki

Any question?
 
ndugu Zangu wanajf,nipo katika wkt mgumu wa kuamua nifanyeje kutokana na hali ilvyo,nina mpenz wangu na ninampenda sana naye pia naamini ananipenda pia, ni kabila lake, yaani ndugu, jamaa na marafik hawataki kusikia kabila hlo kabisa,uamuzi wa kuoa upo mikonon mwangu lakn kwa vile maisha hayaeleweki.

Nahofia hatapata support yoyote kutoka kwa ndugu kwnye malez na matunzo ya wanangu endapo nitalazmisha ndoa kisha nikaondoka duniani kabla yake make maisha hayaeleweki kesho ktatokea ktu gani,ndugu zangu nishaurin nifanyeje,either nimuache au nimweleze wazi ajue lakn nitamwachaje bila kosa?

Dondoshen ushaur wa maana bandugu coz ths is jus a ver sensitive issue!

binadamu wote ni sawa. Roho mbaya haina kabila wala rangi
 
Pole sn lakini lisemwalo lipo na kama halipo linakuja! najua sio wachaga wote wenye tabia mbaya lakini mmoja tu ndio aliechafua jina la wachaga wote kama tujuavo samaki akioza mmoja wameoza wote! nina mfano wa kuuona kabisa, kuna mchaga tupo nae ofc moja basi kadi za gari, hati ya kiwanja vinakaa katika draw ofisini anaogopa kuviacha nyumbani sababu vya kwake yeye asije akafa akarithi mmewe ambae sio mchaga, upo hapo kaka? ndio maana wakubwa wanakuambia usioe mchaga mi nakushauri muoe wa kabila lako mtaendana sana tu

umenivutia sana! tatizo hutupendi sisi mangi.Tungeongea mengine sasa hivi.
 
Muache dada yangu hasije pata taabu bure kwenu huko kwa unyanyapaa..dada wa watu utakuta mchagga jina tu kakulia mjini maisha yake yote ka mtoto wa kizaramo, lakini kwa vile ana surname ya 'Riwa' basi inakuwa taabu! Tumechoka waChagga bana..Wezi sisi, Wauaji sisi, Wakabila sisi, Chadema sisi...aargh!

kila kitu nyinyi na wahaya,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom