Kuoa mwanamke wa kichaga

Kuoa mwanamke wa kichaga

aisee pole sana, waeleweshe vizuri ndugu zako watakuelewa mimi hapa kuna bro wangu (kwetu sisi rombo) mke wake ni mkibosho, ilikuwa ishu sana alipotueleza anataka kuoa mkibosho wazee walikataa sana ikafikia hadi wakamtafutia binti wa kirombo amuoe bro akakataa sana ,mwishoe wazee wakamkubalia sahivi yupo poa na mke wake mkibosho, halafu wazee wamekuja kumpenda sana huyo mke wa bro, ananidhamu na pia muwajibikaji na anaupendo kwa ndugu wote. So nakuhauri kuwa na msimamo
 
na cc dada zenu wanatuita magogo kwenye yale mambo, kazi kweli!

hii itakwisha muda siyo mrefu, kwani sensa 2012 inaonyesha idadi ya wadada wa kichagga ina karibia kulingana kabisa na ya kaka zao. Hivyo itakuwa sisi kwa sisi kuondoa unyanyapaaa huu!!!!!!!!!!!!
 
umakini wa dada wa kichaga katika familia ndio unawafanya waogopwe sana na familia za makabila mengine, sasa sijui watakuwa wazembe ili wakubalike! Mungu zidi kuwabariki wachagga na kuwapofushwa maadui zake wote!
 
Sifa za wadada wa kichaga

Mmachame - chako ni chake na chake ni chake. Ukitaka kubadili hiyo principle anakutoa roho
Mmarangu - lazima uwe na ela, kama huna anatafuta kidumu chenye ela na ukiongea anakumwaga
Mkibosho - anajua kutafuta ela lakini anaimiliki pamoja na ndugu zake, ukiuliza unaweza wahishwa ahera
Muuru- hajali maisha yakoje, muwe maskini, muwe matajiri poa tu, hana ushauri wala hajitumi.
Mrombo - hapendi umaskini, anapiga kazi balaa kutafuta ela. Wapole lakini wanafiki

Any question?

mkuu wewe noumaa nmekubali analysis yako; hujakosea hata kidogo
 
sikatai wachaga mpo juu bt dosari ni kwa wamachame tu.
Mimi nikipata mmarangu, mwika,rombo hata mahari ya 5 mill nalipa bt mmachame No sidanganyiki hyseeee

embu tuwasiliane ila mahari nafikiri wazazi watataka m 10 manake ghorofa ya baba(ya kijijini) haijaisha bado
 
ndugu Zangu wanajf,nipo katika wkt mgumu wa kuamua nifanyeje kutokana na hali ilvyo,nina mpenz wangu na ninampenda sana naye pia naamini ananipenda pia, ni kabila lake, yaani ndugu, jamaa na marafik hawataki kusikia kabila hlo kabisa,uamuzi wa kuoa upo mikonon mwangu lakn kwa vile maisha hayaeleweki.

Nahofia hatapata support yoyote kutoka kwa ndugu kwnye malez na matunzo ya wanangu endapo nitalazmisha ndoa kisha nikaondoka duniani kabla yake make maisha hayaeleweki kesho ktatokea ktu gani,ndugu zangu nishaurin nifanyeje,either nimuache au nimweleze wazi ajue lakn nitamwachaje bila kosa?

Dondoshen ushaur wa maana bandugu coz ths is jus a ver sensitive issue!

We unaoa mwanamke au unaoa kabila?
Tabia haina race wala kabila
 
ila chaga woman wanaogopesha sana....wakianza -nkunde besa mangi...
 
Nimekutana sana na madada wa kichaga lakini nimesita kabisa kuwaoa kwa sababu ya experience niliyonayo inayohusisha familia kadhaa zenye wanawake hao.
 
wanawake weng wa kichaga ndio wanaongoza kwa kuwa wajane kwani hu waua waume zao ili warith mali wajomba wa kichaga wanapenda xana ardhi hivyo kama hauna ardh hawawez kukubali uoe labda uwe mchaga mwenzao
 
ndugu Zangu wanajf,nipo katika wkt mgumu wa kuamua nifanyeje kutokana na hali ilvyo,nina mpenz wangu na ninampenda sana naye pia naamini ananipenda pia, ni kabila lake, yaani ndugu, jamaa na marafik hawataki kusikia kabila hlo kabisa,uamuzi wa kuoa upo mikonon mwangu lakn kwa vile maisha hayaeleweki.

Nahofia hatapata support yoyote kutoka kwa ndugu kwnye malez na matunzo ya wanangu endapo nitalazmisha ndoa kisha nikaondoka duniani kabla yake make maisha hayaeleweki kesho ktatokea ktu gani,ndugu zangu nishaurin nifanyeje,either nimuache au nimweleze wazi ajue lakn nitamwachaje bila kosa?

Dondoshen ushaur wa maana bandugu coz ths is jus a ver sensitive issue!

Nani kakuambia WAZAZI ,NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI WANAWEZA KUKUCHAGULIA MKE WA KUOA.

NAKUSHAURI BILA HILA WALA UNAFIKI.-HUWEZI PATA MKE MZURI ZAIDI YA MCHAGGA.NA UKITAKA KUTOKA HAPO ULIPO KIUCHUMI MWOMBE MUNGU AKUPE TOTO LA KICHAGA.HAYO MENGINE YOOTE NI MADHAIFU YA KAWAIDA NA KILA MWANADAMU ANAYO NA YANAREKEBISHIKA HUKO KUNAKO 6/6.

SIFA ZAO-

1.WACHAPA KAZI
2.WANA UPENDO
3.WANAPENDA UENDELEE YAANI WANA WIVU WA MAENDELEO
4.HAWAKATI TAMAA
5.NI WAVUMILIVU.
6.WANA ROHO YA HURUMA
7.WANA KISMATI CHA MAENDELEO.
8.WANA AKILI TENA ZA KUZALIWA
9.WABUNIFU WA KUPINDUKIA
10.WANAJUA KUMILIKI NA KUTAWALA N.K
 
wanawake weng wa kichaga ndio wanaongoza kwa kuwa wajane kwani hu waua waume zao ili warith mali wajomba wa kichaga wanapenda xana ardhi hivyo kama hauna ardh hawawez kukubali uoe labda uwe mchaga mwenzao
cheki rep power yako
 
Heshimu msimamo wako.. Ukiwasikiliza sanaaa ndugu utakosa mke mwema.. Utafanyiwa
kama yale ya kalunde
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom