Sasa wametoa sababu gani ambazo ni za msingi? na katika sababu hizo walizozitoa zinakugusa moja kwa moja wewe au? na muoaji hasa ki utaratibu ni ukoo wenu au wewe mwenyewe? kaa nao uwaulize vizuri wakueleze sababu ni nini kisha ipime kama ni ya msingi, pia muombe Mungu maana haya mambo yanakuaga na vita sana, baadae ndio utajua hilo hasa ukisha oa