KUOA MWANAMKE MUUZA BAR/PUB

Kwanza wewe na mkeo hamna mawasiliano mazuri ya muda mrefu ndio maana kaanza kujipanga kiuchumi. Kuna mengi yameleta hili kuwa mkweli.
Saa nyingine inategemea unavyouliza ndivyo unavyojibiwa. Kwakuwa hupendi hiyo Pub usikute ukiuliza jambo unauliza kwa kashfa n.k
Halafu wewe sio mlemavu kwanini ulale chumba kama stoo? Huwezi kudeki, kupanga just your room? Unaona mkeo ni mjinga hajasafisha na wewe uliyelala kuchafu siku zote uko sawa?? My dear mmefanana kabisa.
 
Acha utoto anatafuta hela cha msingi ,awe na muda na familia , ajipe limit ya muda wa kurudi home ,mshirikishe mungu kwa maombi yako
 
...nyege...nyegezi...
 
... Fikisha ilo swala mbele ya wazazi wa pande zote mbili. Itisha kikao, waambie kinachikusumbua pamoja na msimamo wako juu ya ilo swala.

... Kuhusu biashara sio lazima ifungwe, tafuteni mtu wa kuweza kuisimamia ili mkeo asiwe directly involved katika selling n serving customers.
 
Huna Mke hapo....ni Baamedi muhuni tu.
 

Hahahaaa atajifanya hajaiona hii comment
 
Hapo Huoni cha Kufanya? Ts a Weekend budy
 
Nenda kwa mshenga hadi kwa paroko yakishindikana jiongeze maana paroko hawezi kuwaambia muachane maana mlishapata sakramenti ya ndoa. Ukweli mimi naona mkeo kafika pabaya na mnaweza achana huyo ni tapeli na kuna kundi baya analo.
 
We utakuwa marioo mkeo alikuwa anakulea mkuu mke anayejielewa hawezi fungus biashara bila kushauriana na mumewe
 
Kabla ya kumuoa alikuwa anafanya kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…