Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Ni swali dogo lakini majibu yake yanatofautiana sana .. Hivi kuoa / kuolewa ni lazima au ni muhimu?
Nawahukuru wote mliotoa michango yenu ila kwangu mimi naona kuoa ni muhimu! Umuhimu wake ni kwa ajili ya kuendeleza kizazi.
Hata Biblia imeliongelea vyema " Ni vyema kila mwanaume na awe na mke wake" ila ikiwezekana ukaweza kujizua kuoa ni sawa. Kumbuka bora kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Kama uko hapa unasoma na una zaidi ya miaka 40 hujaoa / kuolewa jitathmini mara mbili mbili. Jambo muhimu hili hujalifanyia kazi unataka nini?
Unataka uwe unamtuma mtoto wa nani?
Unataka ukistaafu nani ashike nafasi yako?
Unataka ukienda kwenye hotel mtoto wa nani akuhudumie?
Unataka pale stand nani fanye zile kazi ....
Unataka nani aendeshe bodaboda ...
JITATHMINI