Habari wana jukwaa naomba mnishauri,
Nilitokea kumpenda sana binti mmoja wakati niko A level nilikuwa nasoma nae darasa moja ila michepuo tofauti mimi nilikuwa PCB na yeye alikuwa CBG Kibaya zaidi sikuwahi kumtamkia kuwa nampenda nilikuwa naumia moyoni tu.
Baada ya matokeo kutoka(2010) alipata failure na mimi nilipata div iii yenye Principal pass moja nikaenda kusoma diploma ya mifugo(LITI, 2010-2012).
Wakati nikiwa chuoni bado moyo wangu ulikuwa unamfikiria sana huyu binti, mnamo mwezi 11/2011 nilitafuta namba yake kutoka kwa mmoja ya classmate wangu.
Ndipo nilipojipiga kifua na kumweleza hisia zangu kwake na kudai kuwa mbona muda wote huo sijawahi kumwambia nikamweleza kwa nini. Kuanzia hapo ikawa tunawasiliana hadi nilivyorudi chuoni mwezi wa 5/2012.
Nikampigia simu tuonane na kweli alikuja (frankly speaking i did with her) Bila kusahau nilishawahi kumuuliza kama ashawahi kuwa na mtu akanambia ndio lakini wameachana mda mrefu hakuniambia zaidi ya hivyo.
So moja ktk siku nilimwita aje cafe tupate juice alikuja na mtoto mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kuelekea miwili nilimuuliza ni wanani akadai ni ndugu yake yuko Zanzibar hatimae niligundua kuwa ni wake(shorten to save time).
Nilivo muuliza kwa nini alinificha akadai angenikimbiza mapema kama angeniambia (a lot ommited to save time) kimsingi binti ananipenda ajabu na nilishamuahidi kumuoa nikipata kazi na sasa nimeajiriwa na wizara ya mifugo na pia ni mwanafunzi wa veterinary Medicine year 1.
Kwa sasa binti anataka nimuoe kwani nimeshapata kazi lakini nagwaya kuwa ni sawa kwa umri wangu kuanza na binti mwenye mtoto? Zingatia binti nampenda sana kwani alivyo huwezi amini kuwa ana mtoto na yeye pia ananipenda.
Ushauri tafadhali kwani lengo langu mwaka huu usiishe nioe kama kuna mtu atataka maelezo zaidi ili anishauri barabara nitampatia.
Kaunga, Hilo la kuoa mtu aliyezaa nawaachia wanaume wengine. Maisha ya ndoa yana stress nyingi, sitaki kuongeza hii ya kujitakia. I've seen it through my relatives. Najua wapo wanaojiheshim lakini sio rahisi kujua, wengine wanaachana huku wakipendana...Asprin atakuambia mahawala hawaachani, swala la kurudiana au kukumbushia mtoto sio sababu. Tena kama alimkataa akiwa mjamzito, inajenga chuki zaidi ya upendo. Hofu yako ndio hasara yako, toa mawazo negative na mtaishi happily after.
Halafu naona huyu hajampenda vya kutosha ndio maana anauliza mawazo ya watu. Live your life, ili usitafute wa kumlaumu pala yanapokushinda.
nyie mnao quote thread nzima na kuandika mistari miwili mnatuchosha aisee.
Ila akumbuke mtoto akikua lazima amdunde baba wa kufikia. Akiwa mdogo hakuna shida, shida zinaanza anapoanza kujitegemea hasa akiwa wa kiumeKuoa binti mwenye mtoto sio dhambi......mnapendana mmekubaliana kuwa na taarifa sahihi kutoka kwa mama kuhusu mtoto
Sioni tatizo kama mnapendana mtoto si ishu. Jamii imezoea mfumo dume ndio maana unapata taabu kuamua. kuna mama vichanga wengi tu sema viliishia kusikojulikana sasa usidanganywe na muonekano wa mtu kama watu wangechunguzwa kungepatikana na idadi kadhaa ya wakaka na wadada wasiokolifai kuitwa hawana watoto. Wengine hawana kwa sababu siku hiyo haikua siku ya hatari na wengine hawana kwasababu walicholopoa.
Kaunga, Hilo la kuoa mtu aliyezaa nawaachia wanaume wengine. Maisha ya ndoa yana stress nyingi, sitaki kuongeza hii ya kujitakia. I've seen it through my relatives. Najua wapo wanaojiheshim lakini sio rahisi kujua, wengine wanaachana huku wakipendana...
Binafsi huwa naamini
1. mwanamke aliyepelekwa leba na mwanamme kamwe hamsahau huyo mwanaume no matter wat happens esp mimba ya kwanza
2. Mtoto ni kiunganishi baina ya wazazi. Always watakuwa na mawasiliano no matter wat happens.
3. Huwa naamini kujifungua its a live or die thing. its either mwanamke afe mtoto abaki au mtoto afe mwanamke abaki au wafe wote au wabaki wote. So mwanamke kuamua kumzalia mwanaume mtoto huwa ni upendo wa ajabu kiasi cha kuamua kurisk maisha yake kwa yule mwanaume.
Ni hayo tu. Akili za kuambiwa changanya na zako
yaani mngejua...! msingesema yote hayo!
yaani mngejua...! msingesema yote hayo!
Habari wana jukwaa naomba mnishauri,
Nilitokea kumpenda sana binti mmoja wakati niko A level nilikuwa nasoma nae darasa moja ila michepuo tofauti mimi nilikuwa PCB na yeye alikuwa CBG Kibaya zaidi sikuwahi kumtamkia kuwa nampenda nilikuwa naumia moyoni tu.
Baada ya matokeo kutoka(2010) alipata failure na mimi nilipata div iii yenye Principal pass moja nikaenda kusoma diploma ya mifugo(LITI, 2010-2012).
Wakati nikiwa chuoni bado moyo wangu ulikuwa unamfikiria sana huyu binti, mnamo mwezi 11/2011 nilitafuta namba yake kutoka kwa mmoja ya classmate wangu.
Ndipo nilipojipiga kifua na kumweleza hisia zangu kwake na kudai kuwa mbona muda wote huo sijawahi kumwambia nikamweleza kwa nini. Kuanzia hapo ikawa tunawasiliana hadi nilivyorudi chuoni mwezi wa 5/2012.
Nikampigia simu tuonane na kweli alikuja (frankly speaking i did with her) Bila kusahau nilishawahi kumuuliza kama ashawahi kuwa na mtu akanambia ndio lakini wameachana mda mrefu hakuniambia zaidi ya hivyo.
So moja ktk siku nilimwita aje cafe tupate juice alikuja na mtoto mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kuelekea miwili nilimuuliza ni wanani akadai ni ndugu yake yuko Zanzibar hatimae niligundua kuwa ni wake(shorten to save time).
Nilivo muuliza kwa nini alinificha akadai angenikimbiza mapema kama angeniambia (a lot ommited to save time) kimsingi binti ananipenda ajabu na nilishamuahidi kumuoa nikipata kazi na sasa nimeajiriwa na wizara ya mifugo na pia ni mwanafunzi wa veterinary Medicine year 1.
Kwa sasa binti anataka nimuoe kwani nimeshapata kazi lakini nagwaya kuwa ni sawa kwa umri wangu kuanza na binti mwenye mtoto? Zingatia binti nampenda sana kwani alivyo huwezi amini kuwa ana mtoto na yeye pia ananipenda.
Ushauri tafadhali kwani lengo langu mwaka huu usiishe nioe kama kuna mtu atataka maelezo zaidi ili anishauri barabara nitampatia.
Nawashangaa sana.Mwanamke mwenye akili timamu awezi kutembea na mtu alomzalisha na kumuacha maana hicho kitendo ni cha kinyanyasaji hasa kwa mwanaume mwenye uwezo wa kulea mtoto.
Pia jiulize kama issue ni mimba wangapi wanaolewa na walishatoa za kutosha?
Mwisho kabisa jiulize kwa maisha ya sasa mabinti wana hamia kwa wanaume ata miaka miwili bila ndoa na baadae wanazinguana anakuja kuolewa na kijana mwingine na habari zinakua chin ya kapet japokua binti anakua hana mtoto na x.sasa we ukimpata huyo je utasemaje?
Tungejua yapi? Kuwa free tuambie
ipo siku ntawaambia my real love life hadi kufikia kuzaa ila nlisemaga sitoi mimba!