ACADEMIA TODAY
Senior Member
- Jun 7, 2013
- 179
- 86
ambacho anakipinga ni kuanza kuwachangisha watu michango ya harusi
Unanifaa sana wewe, hasara za kuwajaza watu waje kula na kunywa ni heri hiyo pesa nikutwange na ka GX 110.Mimi ukishanivisha pete nikasaini na kale kacheti ka ndoa baaaaaas! Sherehe tupa kuleeee!!
Wana jamvi habarini,
Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza muda na pia resources.
ambacho anakipinga ni kuanza kuwachangisha watu michango ya harusi
ila jamaa ni a kind of anti-social fulani
hana marafiki wengi
so nadhani anaogopa kuwa haitafanukiwa.
mimi kama rafiki, mtazamo wangu ni kwamba
sherehe sio ya muhimu saaaana kama wanapendana na kuelewana
namuunga mkono jamaa, akatoe mahali kama utaratibu then achukue mkewe kwa ndoa ya kimila au bomani.
rafiki yangu hajanielewa kwa kukubaliana na mtazamo wa mchumba wake!!!
wewe mwana MMU wasemaje?
unanifaa sana wewe, hasara za kuwajaza watu waje kula na kunywa ni heri hiyo pesa nikutwange na ka gx 110.
Wana jamvi habarini,
Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza muda na pia resources.
ambacho anakipinga ni kuanza kuwachangisha watu michango ya harusi
ila jamaa ni a kind of anti-social fulani
hana marafiki wengi
so nadhani anaogopa kuwa haitafanukiwa.
mimi kama rafiki, mtazamo wangu ni kwamba
sherehe sio ya muhimu saaaana kama wanapendana na kuelewana
namuunga mkono jamaa, akatoe mahali kama utaratibu then achukue mkewe kwa ndoa ya kimila au bomani.
rafiki yangu hajanielewa kwa kukubaliana na mtazamo wa mchumba wake!!!
wewe mwana MMU wasemaje?
Suala sio kuwa social au anti-social suala ni resource, nilifunga ndoa na kulikua na sherehe lakini maumivu yanayobaki baada ya hapo ni mimi ninayejua. sema niliona mke wambae sio complicated, sasa imebaki story. Kuna kipindi wakati niko chuo pale Mlimani niliona watu siku ya jumatano I think walienda pale CCT kanisani wakafungishwa ndoa wakaondoka zao na mashahidi wao, mwengine ni classmate wangu,alifunga kimya kimya alipomaliza ndugu yake akawachukua wakaenda baharini wakatafuta mahali wakala wakanywa kiasi hao nduki...life goes on