Dah....ukubwa siyo umri wewe....ni uwezo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha wakubwa kuanzia Miaka Mingapi?
Katika ulimwengu wa Kiroho inamaanisha Roho Mbaya na uroho ( nimejibu kwa niaba ya Mshanajr ila Mshana Jr aje ajibu kivyake)Mshana Jr ktk Ulimwengu wa Kiroho.... Hii inaashiria nini
Hahahaa sawa sawa!Dah....ukubwa siyo umri wewe....ni uwezo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha..Dah, akikujibu nitag mkuu. Ahsante.
hahahahh, weee hupendi kunyonya kama hivyo mkuu?🙄🙄Wanaume wa huo mkoa wanatudhalilisha sana wallah....
Daslam mkuu[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Kwani ni mkoa gani huo mkuu...?