Kunywa Kistaarabu.

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,680
IMG-20180929-WA0001.jpg
 
Hii ndio ile yule dogo alieimba "nadekezwa nadekezwa"
Kwenye nimekusahau nakumbuka tu lako jina

Mmmmmh, sina hakika kiongozi coz niko na mbali na wasanii pamoja na sanaa yao kwa jumla mkuu.

Wajuzi wa mambo watatujuza aisee.
 
Bora hiyo, Cku moja nilikuwa viwanja fulan (maeneo ya bar) kwa majirani zetu hapo Kenya nikashuhudia mdada amepakatwa kwenye kiti anatoa uloda mbele ya kadamnasi . Daaah, haya mambo ni balaa!

Vyombo vikishakolea aisee hata mkwe anaweza akakojolewa mkuu.

Ni Hatari Sana.
 
Back
Top Bottom