Kunyonyesha mtoto

Alafu wanakuaga wanaboa ukiwaambia wanajidai vichwa vigumu eti dokta kasema tuanze kumnywesha uji apate nguvu, uji mtoto wa miezi minne akili ya wapi hiyo 😬😐😐😐😡😡😡😡😡

Kwa miezi minne yes its okay kumuanzisha Baby cereal hii ni kama uji Wa Mtoto, lakini wanahitaji kuendelea na kutumia breastfeeding, hata kumchanganyia na huo uji wa cereal . Thanks!
 

mmmh 2 weeks umeshaanza kuchakachua duuh
 
Exactly Lizzy umeongea kitu cha maana sana
 
Kwanini yasitoshe?!

Mama akijitahidi kula vizuri anatengeneza maziwa ya kumtosha mtoto mpaka anashiba kabisa kama we mtu mzima ulokula sahani ya ugali ukashushia na maji.
Nahisi wingi wa maziwa unatofautiana.Nishawahi sikia ukifanyiwa operesheni ya uzazi inapinguza maziwa.Hata hivyo kwa wafanyakazi ni mtihani mzito.Mimi nilijaribu kukamua na yakawa hayamtoshi muda nakuwa sipo nikaamua kumpa formula.
 
However, when the mother is infected with HIV, breastfeeding can transmit the virus to her child. That risk can be great in countries where prolonged breastfeeding is common, accounting for 42% of HIV infections in infants and young children in Africa according to a major meta-analysis of breastfeeding studies.1 Overall, an estimated 5 to 20% of infants born to HIV-infected mothers are infected postpartum via breastfeeding.

In the developed world, both British and United States guidelines recommend that HIV-positive women should refrain from breastfeeding and use formula feed. Elsewhere, the World Health Organization (WHO) and the United Nations Children’s Fund (UNICEF) recommend that HIV-positive mothers of HIV-uninfected (or unknown-status) infants should either breastfeed with accompanying prophylactic ART, or should avoid breastfeeding altogether if replacement feeding is acceptable, feasible, affordable, sustainable, and safe. (See Use of ART while breastfeeding.)

Source
PMTCT and breastfeeding - HIV & AIDS Information :: Prevention of mother-to-child transmission - PMTCT and breastfeeding
 
ila pia cost ya kukumaintain wewe ni kubwa iyo diet yako ili upate maziwa ya kutosha uliyoitaja apo juu inaitaj mume anayejiweza kipesa du!!!
 

Shy land umesikia?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuongezea tuu kunyonyesha kunasaidia pia kupunguza uzito kwa Mama, kupunguza risks za kupata Cancer na magonjwa ya Moyo . Thanks!
Kweli kabisa ila hiyo ya kupungua inategemea na ulaji wa mama pindi akiwa mzazi. Wengi wanakula kupitiliza ndio maana mtu akitoka uzazi anakuwa tembo si tembo, kiboko si kiboko. Ila ukila kwa kiasi mpaka tumbo linaisha kabla hata hujaenda gym.

Umeona eeh? Mimi watoto wa dada yangu haiwezekani....japo ana bidii sana ya kunyonyesha usipowapa chochote hapakaliki nakuambia miezi 6??!!

Inawezekana bwana. Mtama kwa watoto mwenyewe kasema alinyonyesha na yeye ana mapacha kabisa.


Evelyn Salt inawezekana kwasababu maziwa ya mama yanatakiwa yampe mtoto kila kitu. Ndo maana wewe mama unatakiwa pamoja na kula vizuri unywe maji mengi ili mtoto nae apate kiasi cha kutosha. Ila ikibidi kumpa kidogo sio mbaya ili mradi uhakikishe kwamba ni masafi.
 
Last edited by a moderator:
Upo sahihi nesi wetu.
 
Nahisi wingi wa maziwa unatofautiana.Nishawahi sikia ukifanyiwa operesheni ya uzazi inapinguza maziwa.Hata hivyo kwa wafanyakazi ni mtihani mzito.Mimi nilijaribu kukamua na yakawa hayamtoshi muda nakuwa sipo nikaamua kumpa formula.

Zion Daughter hilo la operation halina ukweli wowote maana mimi mwenyewe nimejifungua kwa operation lakini maziwa yalikuwepo ya kutosha kabisa. Hata watu nnaowajua pamoja na kujifungua kwa njia hiyo hiyo hawajapata shida ya maziwa. Labda tu tuseme kwasababu ya kidonda wanakuwa wazito kunyonyesha hivyo kupelekea utengenezaji wa maziwa usiwe mzuri sana.

Mwanzoni kama kuna shida zipo njia za ku-stimulate utengenezaji wa maziwa. Ndo maana wamama huwa wanakazaniwa vimiminika haswa maji. Yakishaanza kutoka kadiri unavyonyonyesha ndo maziwa yatakavyotengenezwa, ili mradi tu mama ale na kunywa vizuri.

ila pia cost ya kukumaintain wewe ni kubwa iyo diet yako ili upate maziwa ya kutosha uliyoitaja apo juu inaitaj mume anayejiweza kipesa du!!!

bona hapo ndo watu wengi wanapokosea. Wakisikia 'KULA VIZURI' basi picha wanayoipata ni nyama,nyama,nyama,mafuta debe na blueband sado.

Ila sio ukweli. Mimi nilijifungulia Moshi na kule kwetu ukiwa mzazi utalishwa kama vile hamna kesho ila nilikataa. Chai ya rangi na vipande viwili vya mkate vinahitaji sh. ngapi?! Mayai mawili mara tatu kwa wiki ni 1800 hiyo nayo ni ya kusema lazima mwanaume awe na pesa nyingi?! Mchele robo, maharage, mboga za majani, nyama robo/nusu mara mbili au tatu kwa wiki, samaki kidogo, ndizi, spaghetti zinazouzwa pakti nzima 1200 na matunda ambayo kama sasa hivi yamejaa kila kona ni ya kusema lazima uwe tajiri kweli. Dawa ya kuyashinda haya maisha ni kutoku-complicate mambo ambayo yako simple.

Ila nadhani baadhi ya watu huwa wanatumia ile nafasi kula tofauti na ambavyo wanaweza kula katika hali ya kawaida. Na ndio hufanya ionekane kwamba mama akiwa mzazi lazima mzee atoboe mfuko kumlisha.
 
Last edited by a moderator:
Stress nazo husababisha maziwa kukata kbs....hivyo ni muhimu kujiepusha na mastress...........na wababa muwajali na kuwathamini sana wake zenu kipindi hicho........sio malove yote unahamishia kwa michepuko......jaribu kukumbuka na nyumbani pia!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Hahahahahaha, umenichekesha, asilimia kubwa maziwa ya mama ni maji.Mi mtoto wangu hakuwai kunywa maji mpaka alivofikisha miezi 6.
 
Noted .

Nanyonyesha mwenzenu msisahau kunitumia Pampers na matunda sawa Lizzy

nafata sheria za unyonyeshaji kama inavyotakiwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…