Kunyonya uume

Baba mtata

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
280
40
Habari wakuu
Naomba anaejua madhara ya kunyonya uume kwa wote wawili mwanamke na mwanaume.
 
Kweli kazi ipo kwahyo wote wanaokuja kwenye jukwaa hili kuulza mambo mbalimbali wanahusishwa nayo?badili mtazamo usilopoke
 
Pamoja na hoja yako kuijenda hovyo hovyo lakini ukweli unabaki kuwa huu, mwanamke akinyonya uume mwanaume kuna madhara machache ambayo anaweza kuyapata tofauti na mwanaume anaponyonya uke mwanamke kwa sababu maumbile ya wanawake yanahitaji usafi sana na ni rahisi kukaa na magonjwa muda mrefu.
 
Madhara ya kansa ya koo inasemekana inawapata watu wengi sana wanao nyonyana kwa hiyo chukueni tahadhari kwa hilo nje ya magonjwa mengine kingono kama HIV, etc
 
Hakuna madhara kiafya ila usafi wa hali ya juu unahuska ili kuepuka ku swalo bakteria na fangas kwa mnyonyaji
 
Back
Top Bottom