Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,091 Reaction score 136,646 May 20, 2009 #1 Mnaonaje hili swala la kunyoa vikwapa. Wewe unapenda demu anayenyoa makwapa yake? Na vipi wanaume kunyoa makwapa yao, ni ok?
Mnaonaje hili swala la kunyoa vikwapa. Wewe unapenda demu anayenyoa makwapa yake? Na vipi wanaume kunyoa makwapa yao, ni ok?
Azimio Jipya JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 3,363 Reaction score 1,135 May 20, 2009 #2 I dont know...but it doesnt sound that good either!!!
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,091 Reaction score 136,646 May 20, 2009 Thread starter #3 Na kwa nini baadhi ya wanawake wananyoa makwapa yao?
Kaniki1974 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2008 Posts 352 Reaction score 22 May 20, 2009 #4 kwapa la ke likiwa halijanyolewa I can't feel. Nanyoa. Kwani manyoa ya kwapani yana uzuri?
M MpendaTz JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 2,231 Reaction score 937 May 20, 2009 #5 kwenye nchi za joto nadhani ni jambo la kawaida kunyoa zenye kutoka jasho sana na rahisi kupata fungus
kwenye nchi za joto nadhani ni jambo la kawaida kunyoa zenye kutoka jasho sana na rahisi kupata fungus
Bazazi JF-Expert Member Joined Aug 18, 2008 Posts 2,806 Reaction score 3,502 May 21, 2009 #6 Sielewi swali, una maana ya kwapa kama kwapa au ndio mambo ya tafsida? Kama unamaanisha ulichoandika sioni tatizo kwani ni masual ya usafi
Sielewi swali, una maana ya kwapa kama kwapa au ndio mambo ya tafsida? Kama unamaanisha ulichoandika sioni tatizo kwani ni masual ya usafi
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 May 21, 2009 #7 mie najiulizaga watu wa zamani walikuwa wananyoaje nywele zao hakukuwa na nyembe,makasi na vikatio vyoyvote ambayo vinatumika zama za chuma....
mie najiulizaga watu wa zamani walikuwa wananyoaje nywele zao hakukuwa na nyembe,makasi na vikatio vyoyvote ambayo vinatumika zama za chuma....
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,579 Reaction score 573 May 22, 2009 #8 Nyani Ngabu said: Na kwa nini baadhi ya wanawake wananyoa makwapa yao? Click to expand... Kwani wanaume hawanyoi makwapa?
Nyani Ngabu said: Na kwa nini baadhi ya wanawake wananyoa makwapa yao? Click to expand... Kwani wanaume hawanyoi makwapa?
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 35 May 22, 2009 #9 Yo Yo said: mie najiulizaga watu wa zamani walikuwa wananyoaje nywele zao hakukuwa na nyembe,makasi na vikatio vyoyvote ambayo vinatumika zama za chuma.... Click to expand... walioishi zana za mawe walitumia mawe.
Yo Yo said: mie najiulizaga watu wa zamani walikuwa wananyoaje nywele zao hakukuwa na nyembe,makasi na vikatio vyoyvote ambayo vinatumika zama za chuma.... Click to expand... walioishi zana za mawe walitumia mawe.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,091 Reaction score 136,646 May 22, 2009 Thread starter #10 Pretty said: Kwani wanaume hawanyoi makwapa? Click to expand... Mimi sinyoi...wewe unanyoa?
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,579 Reaction score 573 May 22, 2009 #11 Nyani Ngabu said: Mimi sinyoi...wewe unanyoa? Click to expand... Huwa nashave ndio my underarms hair. Sasa kama hujawahi kushave si utakuwa na msitu huko jamani! Lol! sasa kama hunyoi hiyo deodorant huko inakuwaje sasa?
Nyani Ngabu said: Mimi sinyoi...wewe unanyoa? Click to expand... Huwa nashave ndio my underarms hair. Sasa kama hujawahi kushave si utakuwa na msitu huko jamani! Lol! sasa kama hunyoi hiyo deodorant huko inakuwaje sasa?
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 May 22, 2009 #12 Saikosisi said: walioishi zana za mawe walitumia mawe. Click to expand... aisee.....vipi kuhusu mfano wakina dada/mama walipokuwa hedhini? walitumia nini kujisitiri?
Saikosisi said: walioishi zana za mawe walitumia mawe. Click to expand... aisee.....vipi kuhusu mfano wakina dada/mama walipokuwa hedhini? walitumia nini kujisitiri?
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,579 Reaction score 573 May 22, 2009 #13 Yo Yo said: aisee.....vipi kuhusu mfano wakina dada/mama walipokuwa hedhini? walitumia nini kujisitiri? Click to expand... Haya maswali mengine!
Yo Yo said: aisee.....vipi kuhusu mfano wakina dada/mama walipokuwa hedhini? walitumia nini kujisitiri? Click to expand... Haya maswali mengine!
ChaMtuMavi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2008 Posts 330 Reaction score 9 May 22, 2009 #14 Nyani Ngabu said: Mimi sinyoi...wewe unanyoa? Click to expand... wanaume wanaonyoa makwapa ni mashoga, hiyo ni moja ya vitambulisho vya ushoga, so they say
Nyani Ngabu said: Mimi sinyoi...wewe unanyoa? Click to expand... wanaume wanaonyoa makwapa ni mashoga, hiyo ni moja ya vitambulisho vya ushoga, so they say
Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member Joined Jan 2, 2008 Posts 586 Reaction score 47 May 22, 2009 #15 Mmmmh kunyoa muhimu jamani,usiponyoa si uchafuuuu huoooo!!
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 35 May 22, 2009 #16 Yo Yo said: aisee.....vipi kuhusu mfano wakina dada/mama walipokuwa hedhini? walitumia nini kujisitiri? Click to expand... piga mahesabu! watakuwa walikuwa wanakaa ndani mpaka atoke 'mwezini', na kuosha kwa maji.
Yo Yo said: aisee.....vipi kuhusu mfano wakina dada/mama walipokuwa hedhini? walitumia nini kujisitiri? Click to expand... piga mahesabu! watakuwa walikuwa wanakaa ndani mpaka atoke 'mwezini', na kuosha kwa maji.
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 35 May 22, 2009 #17 ChaMtuMavi said: wanaume wanaonyoa makwapa ni mashoga, hiyo ni moja ya vitambulisho vya ushoga, so they say Click to expand... pia wanaume wanaonyoa ndevu ni mashoga; wasionyoa ndevu mabasha +
ChaMtuMavi said: wanaume wanaonyoa makwapa ni mashoga, hiyo ni moja ya vitambulisho vya ushoga, so they say Click to expand... pia wanaume wanaonyoa ndevu ni mashoga; wasionyoa ndevu mabasha +
Nyamayao JF-Expert Member Joined Jan 22, 2009 Posts 6,966 Reaction score 2,379 May 22, 2009 #18 hayo manywele nywele ya sehemu sehemu me huwa cyapendi kabisa! kunyoa nii muhimu kwa wanaume na wanawake, khaaaa
hayo manywele nywele ya sehemu sehemu me huwa cyapendi kabisa! kunyoa nii muhimu kwa wanaume na wanawake, khaaaa
BornTown JF-Expert Member Joined May 7, 2008 Posts 1,716 Reaction score 485 May 22, 2009 #19 yo yo said: mie najiulizaga watu wa zamani walikuwa wananyoaje nywele zao hakukuwa na nyembe,makasi na vikatio vyoyvote ambayo vinatumika zama za chuma.... Click to expand... walikuwa wanatumia majivu yenye moto kidogo
yo yo said: mie najiulizaga watu wa zamani walikuwa wananyoaje nywele zao hakukuwa na nyembe,makasi na vikatio vyoyvote ambayo vinatumika zama za chuma.... Click to expand... walikuwa wanatumia majivu yenye moto kidogo
BornTown JF-Expert Member Joined May 7, 2008 Posts 1,716 Reaction score 485 May 22, 2009 #20 Yo Yo said: aisee.....vipi kuhusu mfano wakina dada/mama walipokuwa hedhini? walitumia nini kujisitiri? Click to expand... Walikuwa wakitukia magome laini ya miti ama majani malaini
Yo Yo said: aisee.....vipi kuhusu mfano wakina dada/mama walipokuwa hedhini? walitumia nini kujisitiri? Click to expand... Walikuwa wakitukia magome laini ya miti ama majani malaini