Wanazengo,
Leo nilikua katika mishe mishe zangu kama mnavyojua jua la dar, ikanibidi nielekee beach kupunga Upepo kidogo. Nikapaki kibirit changu pembeni, nikatoka kwenye gari nikaa kwenye kivuli nikatoa sigara yangu nikaanza kuvuta taratibu huku nikitafakari maisha.
Kitu cha kushangaza na kustaajabisha, baada ya dakika kadhaa, nikashangaa nimenyewa na ndege, mavi meupee kwa haraka sikujua ni ndege gani. Ila kulikua na kunguru angani hivyo nikahisi bila shaka ni kunguru kaninyea
Nilishikwa na butwaa sana, nikashangaa maana space ni kubwa why aninyee. Tena mkononi kabisa, hii kitu haijawahi kunitokea kabla. Ni kawaida au kuna kitu au ishara ya jambo fulani ?
Nimejikuta tu nakosa raha na kujiuliza endapo itakua tu ni kawaida au kuna ishara nyingine ya kiimani kuhusu tukio hilo
Tusaidiane mawazo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kunguru ana tabia ya kunyea chakula ili ukitupe ale yeye, nakumbuka niliyokuwa shule Kunguru alikuwa anafanya sana huu mchezo kuna siku Kunguru alilenga mavi yake kwenye tundu la soda... Noma sanaWanazengo,
Leo nilikua katika mishe mishe zangu kama mnavyojua jua la dar, ikanibidi nielekee beach kupunga Upepo kidogo. Nikapaki kibirit changu pembeni, nikatoka kwenye gari nikaa kwenye kivuli nikatoa sigara yangu nikaanza kuvuta taratibu huku nikitafakari maisha.
Kitu cha kushangaza na kustaajabisha, baada ya dakika kadhaa, nikashangaa nimenyewa na ndege, mavi meupee kwa haraka sikujua ni ndege gani. Ila kulikua na kunguru angani hivyo nikahisi bila shaka ni kunguru kaninyea
Nilishikwa na butwaa sana, nikashangaa maana space ni kubwa why aninyee. Tena mkononi kabisa, hii kitu haijawahi kunitokea kabla. Ni kawaida au kuna kitu au ishara ya jambo fulani ?
Nimejikuta tu nakosa raha na kujiuliza endapo itakua tu ni kawaida au kuna ishara nyingine ya kiimani kuhusu tukio hilo
Tusaidiane mawazo
Sent from my iPhone using JamiiForums

Hili ndio jibuKunguru ana tabia ya kunyea chakula ili ukitupe ale yeye, nakumbuka niliyokuwa shule Kunguru alikuwa anafanya sana huu mchezo kuna siku Kunguru alilenga mavi yake kwenye tundu la soda... Noma sana
Ila according to science Kunguru, dolphin, chimpanzee ni wa nyama wenye ueledi sana wanaoweza kutumia akili kupata solutions
Maybe Kunguru alidhani hiyo sigara unayovuta ni chakula akataka ainyee uitupe ale yeye...![]()
Kabisa wakwe2Unajua sisi wanadamu ukiwa na matatizo ya kimaisha ama matarajio furani ambayo hayajii kwa muda uliopanga wewe sasa hata ukijikwaa tu utaomba ushauri ni nini? na ndiyo maana makanisa haya mapya haya hayakosi wateja.
Uendelee kupumzika kwa Aman WarumiWanazengo,
Leo nilikua katika mishe mishe zangu kama mnavyojua jua la dar, ikanibidi nielekee beach kupunga Upepo kidogo. Nikapaki kibirit changu pembeni, nikatoka kwenye gari nikaa kwenye kivuli nikatoa sigara yangu nikaanza kuvuta taratibu huku nikitafakari maisha.
Kitu cha kushangaza na kustaajabisha, baada ya dakika kadhaa, nikashangaa nimenyewa na ndege, mavi meupee kwa haraka sikujua ni ndege gani. Ila kulikua na kunguru angani hivyo nikahisi bila shaka ni kunguru kaninyea
Nilishikwa na butwaa sana, nikashangaa maana space ni kubwa why aninyee. Tena mkononi kabisa, hii kitu haijawahi kunitokea kabla. Ni kawaida au kuna kitu au ishara ya jambo fulani ?
Nimejikuta tu nakosa raha na kujiuliza endapo itakua tu ni kawaida au kuna ishara nyingine ya kiimani kuhusu tukio hilo
Tusaidiane mawazo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na mimi kaninyea leo mkononi nikiwa nmekaa zangu sina time na mtu yaan ghafla tu alafu naangalia simuoni wala nini, au ndio nishapigwa kipapai ghafla? Maana huu mtaa wanga wengi wanaroga hatari,Tena mkononi kabisa, hii kitu haijawahi kunitokea kabla.