Kunyewa na kunguru ina ashiria nini ?

Kunyewa na kunguru ina ashiria nini ?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Wanazengo,

Leo nilikua katika mishe mishe zangu kama mnavyojua jua la dar, ikanibidi nielekee beach kupunga Upepo kidogo. Nikapaki kibirit changu pembeni, nikatoka kwenye gari nikaa kwenye kivuli nikatoa sigara yangu nikaanza kuvuta taratibu huku nikitafakari maisha.

Kitu cha kushangaza na kustaajabisha, baada ya dakika kadhaa, nikashangaa nimenyewa na ndege, mavi meupee kwa haraka sikujua ni ndege gani. Ila kulikua na kunguru angani hivyo nikahisi bila shaka ni kunguru kaninyea

Nilishikwa na butwaa sana, nikashangaa maana space ni kubwa why aninyee. Tena mkononi kabisa, hii kitu haijawahi kunitokea kabla. Ni kawaida au kuna kitu au ishara ya jambo fulani ?

Nimejikuta tu nakosa raha na kujiuliza endapo itakua tu ni kawaida au kuna ishara nyingine ya kiimani kuhusu tukio hilo

Tusaidiane mawazo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanazengo, Leo nilikua katika mishe mishe zangu , kama mnavyojua jua la dar , ikanibid nielekee beach kupunga Upepo kidogo , nikapak kibirit changu pemben, nikatoka kwenye gar nikaa kwenye kivuli nikatoa sigara yangu nikaanza kuvuta taratibu huku nikitafakari maisha.

Kitu cha kushangaza na kustaajabisha, baada ya dakika kadhaa, nikashangaa nimenyewa na ndege, mavi meupee, kwa haraka sikujua ni ndege gani , Ila kulikua na kunguru angani hivyo nikahisi bila shaka ni kunguru kaninyea.

Nilishikwa na butwaa sana, nikashangaa maana space ni kubwa why aninyee, Tena mkononi kabisa , hii kitu haijawahi kunitokea kabla , ni kawaida au kuna kitu au ishara ya jambo Fulani ?

Nimejikuta tu nakosa raha na kujiuliza endapo itakua tu ni kawaida au kuna ishara nyingine ya kiimani kuhusu tukio hilo.

Tusaidiane mawazo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Jiandae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna lolote,wewe piga kazi zako mkuu!mikunguru imejaa kibao hapa Dar wala haina mpango ina chafua kila kona!
 
Kwa Maelezo yako inaonyesha ww ni bishooo na kunguru uwa hapendi ishu za ubishoo yeye ni mzee wa uchafu so kaona ni bora akupge unyesi akukate stimu ya matanuzi yako na kafanikiwa mana umekuwa na mawazo....Pili kwa vile walikuwa angani na ww ulipta chini yao wameamua tu wakunyee mana hakuna namna.
 
Mi hii midubwasha naona kama inapania kunilenga... hainikosagi ikiamua... koma maye zao
 
Wanazengo, Leo nilikua katika mishe mishe zangu , kama mnavyojua jua la dar , ikanibid nielekee beach kupunga Upepo kidogo , nikapak kibirit changu pemben, nikatoka kwenye gar nikaa kwenye kivuli nikatoa sigara yangu nikaanza kuvuta taratibu huku nikitafakari maisha.

Kitu cha kushangaza na kustaajabisha, baada ya dakika kadhaa, nikashangaa nimenyewa na ndege, mavi meupee, kwa haraka sikujua ni ndege gani , Ila kulikua na kunguru angani hivyo nikahisi bila shaka ni kunguru kaninyea.

Nilishikwa na butwaa sana, nikashangaa maana space ni kubwa why aninyee, Tena mkononi kabisa , hii kitu haijawahi kunitokea kabla , ni kawaida au kuna kitu au ishara ya jambo Fulani ?

Nimejikuta tu nakosa raha na kujiuliza endapo itakua tu ni kawaida au kuna ishara nyingine ya kiimani kuhusu tukio hilo.

Tusaidiane mawazo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ilikuwa lazma akunyee, huna aibu unavuta sigara
 
Sidhani kama lengo lako ni kunguru,maana dsm ni kawaida tu.......

Anyway tumejua kama una Kasuku match
 
Nadhani atakuwa kakufananisha na toilet!..ulikuwa umeoga au ulikuwa unanuka jasho kama beberu amabaye hajahasiwa?...nijibu kwanza then nitakushauri
 
Wanazengo,

Leo nilikua katika mishe mishe zangu kama mnavyojua jua la dar, ikanibidi nielekee beach kupunga Upepo kidogo. Nikapaki kibirit changu pembeni, nikatoka kwenye gari nikaa kwenye kivuli nikatoa sigara yangu nikaanza kuvuta taratibu huku nikitafakari maisha.

Kitu cha kushangaza na kustaajabisha, baada ya dakika kadhaa, nikashangaa nimenyewa na ndege, mavi meupee kwa haraka sikujua ni ndege gani. Ila kulikua na kunguru angani hivyo nikahisi bila shaka ni kunguru kaninyea

Nilishikwa na butwaa sana, nikashangaa maana space ni kubwa why aninyee. Tena mkononi kabisa, hii kitu haijawahi kunitokea kabla. Ni kawaida au kuna kitu au ishara ya jambo fulani ?

Nimejikuta tu nakosa raha na kujiuliza endapo itakua tu ni kawaida au kuna ishara nyingine ya kiimani kuhusu tukio hilo

Tusaidiane mawazo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bora. Ww amekunyea mkononi wengine kichwani kabisa
 
Haaahaaa..punguzeni matambiko na kupenda shiriki. Unahofia nini sasa wakati mavi ya ndege hayana sumu kama umeumwa na nyoka?
 
Wanazengo,

Leo nilikua katika mishe mishe zangu kama mnavyojua jua la dar, ikanibidi nielekee beach kupunga Upepo kidogo. Nikapaki kibirit changu pembeni, nikatoka kwenye gari nikaa kwenye kivuli nikatoa sigara yangu nikaanza kuvuta taratibu huku nikitafakari maisha.

Kitu cha kushangaza na kustaajabisha, baada ya dakika kadhaa, nikashangaa nimenyewa na ndege, mavi meupee kwa haraka sikujua ni ndege gani. Ila kulikua na kunguru angani hivyo nikahisi bila shaka ni kunguru kaninyea

Nilishikwa na butwaa sana, nikashangaa maana space ni kubwa why aninyee. Tena mkononi kabisa, hii kitu haijawahi kunitokea kabla. Ni kawaida au kuna kitu au ishara ya jambo fulani ?

Nimejikuta tu nakosa raha na kujiuliza endapo itakua tu ni kawaida au kuna ishara nyingine ya kiimani kuhusu tukio hilo

Tusaidiane mawazo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wala hamna shida, wewe nenda tu kaoge.
 
Amekushangaa tangu umekaa hapo unaandika tu (chat) sasa kaona labda umeishiwa wino

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom