Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 788
- 963
- Thread starter
- #21
Ukiangalia watu wengi wanakomaa na unyanyasaji wa kijinsia, wanasahau kwamba mambo yote yanaanzia kwenye saikolojia za watuKuna haja kubwa sana ya kuwa na wataalam wa saikolojia na ushauri nasaha katika vituo vyetu hivi vya afya