Kunya ruksa chadema, akinya ccm kaharisha

PAS

JF-Expert Member
May 3, 2010
454
8
CCM YEYE TWAONA ANA MABAYA TU HANA MAZURI, ILA CHADEMA YEYE NI MAZURI TU,wadau rejeeni post aliyoweka ndugu Ng'wanangwa "VIKUKU BUNGENI",ivi alipoamua kuwaweka hao wanawake hapo ili tuwaone walivojiremba inahusiana na nini kwenye mchango wa mtu bungeni??
mmesahau enzi za CHIKU ABWAO akiwa nccr alivokuwa anajiremba hadi mkorogo juu, na alikuwa anamchango wa hali ya juu sana bungeni na ninamkubali hadi leo pia pangezi kwa huyo mpiganaji kurudi bungeni..ila kwasasa kazeeka ndo maana mwawaona ni waheshima sana..

ivo hao kina vicky nao ni mapito kama aliyopitia CHIKU ABWAO cha msingi tujiulize "je wanamchango gani??" hayo mambo ya vikuku ni udaku tu na mambo binafsi kwani wametembea uchi ukitazama hiyo picha??

Hata halima mdee alikuwa anajiremba kama hao ila mchango wake bungeni na alipotangaza kuwania kawe yule mama RITA MLAKI alifam kabisa kuwa hatapita ivo akakimbilia viti maalum mwaka huu,
tumeuona mchango wa HALIMA hadi sasa tumempa ubunge kawe..

tatizo kuna baadhi ya watu wanaleta post za ajabu ajabu matokeo yake memb wote na wageni wanaotebelea jf wasipokuwa makini wanawauna mkono, hivyo tuwe makini zaidi ya hapa.

Penye mazuri yakiwepo tukubali, na kwenye mabaya ruksa kunena...


[video]https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/86631-vikuku-bungeni-2.html[/video]
 
Mungu wetu Mungu wetu kuna nini Tanzania
Nchi yetu inauzwa Mafisadi wana nia
Tuhurumie Mungu wetu mafisadi zao nia
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza

Angalia zao nia Matokeo chakachua
Wenye haki wananyimwa Kura zao Kuibiwa
Kwa kishindo watangaza Aliyeshindwa Kashinda
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza

Nawaombea Mabaya Mafisadi angamiza
Wenye haki wabakie Nchi nzuri wawe nayo
Mafisadi wafutike kwa ajali wamalize
Nchi yetu nchi yetu mafisadi wanauza

Wananchi wamtaka SITA wetu Uspika
Mafisadi chakachua wameweka vibaraka
Wanawake wanafaa kumbe nao mafisadi
Nchi yetu nchi yetu mafisadi wanauza

Tumesha wasoma mbeleni Makindakinda Kumuweka
Wanasema anafaa ni wakati wanawake
Wanawake kitu gani mbona chaguo Fisadi
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Bora angkuwa KIlango tungesema wameweza
Makindakinda kumuweka Mafisadi kuwalinda
Wanawake gani hawa mkakati twaujua
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Walipanga awe Chenge wengi wutu tukaguna
Wakaona watuvunge Makindakinda kumuweka
Huyu makindakinda ni wakwao wananchi tukatae
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Mkumbukeni kinda kinda enzi zile ni naibu
Tofaute yake na SITA hoja nzuri alipinga
Mafisadi kumuweka ni faida yao pia
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Nitamati nafikia ndugu zangu muwaase
Wawakilishi wasitoe kura zao kwa vibaraka
Bora sana MABERE kuliko kinda kinda wa mafisadi
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza
 
Unamuonea tu Da Chiku mbona yuko powa tu...no vikukuz...ana pete yake ya ndoa tu

1285166084.jpg
 
Mungu wetu Mungu wetu kuna nini Tanzania
Nchi yetu inauzwa Mafisadi wana nia
Tuhurumie Mungu wetu mafisadi zao nia
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza

Angalia zao nia Matokeo chakachua
Wenye haki wananyimwa Kura zao Kuibiwa
Kwa kishindo watangaza Aliyeshindwa Kashinda
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza

Nawaombea Mabaya Mafisadi angamiza
Wenye haki wabakie Nchi nzuri wawe nayo
Mafisadi wafutike kwa ajali wamalize
Nchi yetu nchi yetu mafisadi wanauza

Wananchi wamtaka SITA wetu Uspika
Mafisadi chakachua wameweka vibaraka
Wanawake wanafaa kumbe nao mafisadi
Nchi yetu nchi yetu mafisadi wanauza

Tumesha wasoma mbeleni Makindakinda Kumuweka
Wanasema anafaa ni wakati wanawake
Wanawake kitu gani mbona chaguo Fisadi
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Bora angkuwa KIlango tungesema wameweza
Makindakinda kumuweka Mafisadi kuwalinda
Wanawake gani hawa mkakati twaujua
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Walipanga awe Chenge wengi wutu tukaguna
Wakaona watuvunge Makindakinda kumuweka
Huyu makindakinda ni wakwao wananchi tukatae
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Mkumbukeni kinda kinda enzi zile ni naibu
Tofaute yake na SITA hoja nzuri alipinga
Mafisadi kumuweka ni faida yao pia
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Nitamati nafikia ndugu zangu muwaase
Wawakilishi wasitoe kura zao kwa vibaraka
Bora sana MABERE kuliko kinda kinda wa mafisadi
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza


Amen
 
Kwani vyoo vingine hajaviona vya kunyea lazima unyeee hapa tu. Waende wakanyee Choo Cha Mafisadi.
 
hivi Vikuku vinatoa message fulani? Inawezekana kunaujumbe mzito

maana yake nilishaisema jana...akivaa miguu yote miwili kama viki kamata maana yake ni kuwa anapiga miguu yote miwili kama LAMPARD...ushanifahamu weyeee...Njoo LAMU utaona mambo hayo
 
maana yake nilishaisema jana...akivaa miguu yote miwili kama viki kamata maana yake ni kuwa anapiga miguu yote miwili kama lampard...ushanifahamu weyeee...njoo lamu utaona mambo hayo

wewe nshasema akli zako fupi kama maisha ya funza
 
Matuc ya nini yakhee kwani chanzo nini , akha ushabiki, mimi ndio maana nimehama huku maana kila kukicha chadema chadema utadhani twamsubiri mesiah
 
matuc ya nini yakhee kwani chanzo nini , akha ushabiki, mimi ndio maana nimehama huku maana kila kukicha chadema chadema utadhani twamsubiri mesiah

hapo umenena mkuu mana chadema wao tunajiona malaika, kumbe sio
 
Back
Top Bottom