Habari wakubwa.
Hivi kununua vitu online kama eBay au Amazon market ambamo kuna sehemu najaza info zangu za bank, ni safe kweli ktk pesa zangu za bank? Sometimes nahisi kama wajomba wanaweza kua wananikombea pesa zaidi na ata pa kushitaki nikakosa kwa hapa home Tz.
Pia vipi taratibu, na gharama za kupata mzigo wangu (Vitu vidogo dogo kama smartphone, computer au tabs) hakuwezi kua na uchakachuzi kwa mawakala wao hapa Tz, nikajikuta nalipa bei kubwa zaidi kukikomboa ni heri ata ningenunua hapahapa Bongo?
Thanks
i got yu. nadhani ili swali la mwisho: kwa mfano nikinunua leo, inachukua muda wa siku ngapi kuipata bidhaa yangu? na mbona eBay bidhaa nyingi naona "this item doesn't shipped to Tz"?
ikizidi siku 7 si unajua tena wabongo hawakupigii simu wanakutumia note kwenye sanduku lako so ni ww kupita kucheki.but within 2 days mzigo unakuwa umefika tz.uksachi vizuri ebay zipo wanasafirisha worldwide.we unatafuta nini?unaweza kutaja hapa na spesifikesheni zake?
Habari wakubwa.
Hivi kununua vitu online kama eBay au Amazon market ambamo kuna sehemu najaza info zangu za bank, ni safe kweli ktk pesa zangu za bank? Sometimes nahisi kama wajomba wanaweza kua wananikombea pesa zaidi na ata pa kushitaki nikakosa kwa hapa home Tz.
Pia vipi taratibu, na gharama za kupata mzigo wangu (Vitu vidogo dogo kama smartphone, computer au tabs) hakuwezi kua na uchakachuzi kwa mawakala wao hapa Tz, nikajikuta nalipa bei kubwa zaidi kukikomboa ni heri ata ningenunua hapahapa Bongo?
Thanks
Utaibiwa pesa zako bure!! Unaweza ukaletewa vitu tofauti na ulovyoagiza, Jamaa aliagiza viatu vya $2000 akaletewa zote za mguu mmoja. Uzuri ni kuwa na agent sehem husika eg, China, Singapore, Dubai etc,, wasiliana na mm baada ya mwaka mpya!!
so far nimeshanunua vitu kibao kwa MasterCard hana sha vinakuja kwa wakati na ni bidhaa yenyewe! MasterCard ni rahisi kidogo kuliko PayPal you just need a MasterCard activated card ya CRDB ama ya bank yeyote na unaanza ku nunua
Mimi ningependa kununua simu nje ila wasiwasi wangu ni customs hapa tz,charges zao zinakuwaje i already have paypal n crdb acc