Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,915
- 30,027
Ushauri wangu,
Waweza kukomaa na hiyo 6mil kwenye gari used but ukapata gari ambayo "life span " ishafikia mwisho kwa Bongo, au ndo inaishia ishia.
Lakini ukiongezea labda laki 5 unaagiza from Japan Toyota Passo kwa uvumilivu wa miezi isiyozidi miwili. Ingawa still ni used but wenzetu wanajali sana mambo ya service, pia wana utaalam nayo, tofauti na ukiokoa hiyo laki 5 but ukakumbana na kimeo ambacho kila gereji hapa mjini wanakijua!!