kununua usafiri kwa sh 6ml

kununua usafiri kwa sh 6ml

Chukua premio old model hili in jiwe lina speed 260 Mkuu nipo dar ni pm tuongee
 
naomba mnisaidie nigari ya aina gani naweza kupata kwa bei ya sh 6ml, nipo morogoro. nawatakia jioni njema

Nina Toyota vitz karibu ni nzuri sana ntakupa kwa 6.5mio INA namba CCZ nicheck katika namba 0655888479 IPO Hapa Dar is salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom