kununua usafiri kwa sh 6ml

kununua usafiri kwa sh 6ml

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
naomba mnisaidie nigari ya aina gani naweza kupata kwa bei ya sh 6ml, nipo morogoro. nawatakia jioni njema
 
Mie nina 5ml nataka toyota carina iliyo ktk hali nzur wadau
 
mil.6 kwa kuagiza japan utapata premio old model. Hapa bongo showroom unavuta swift. Karibu
 
nna toyota crester...nyeupe ipo kwenye hali nzuri nauza 6million mkuu...nipo arusha
 
nina rav 4 - 3 doors iko kwenye hali nzuri kama uko serious nipm --iko arusha
 
Nina peugeot 206, ina hali nzuri, bei 5.3M niko Songea town niPM.
 
ningefurahi sana kama ningepata na picha japo kujiridhisha.
 
ah hiyo hela mbona unapata GX 100 mbili kabisa. wewe tu na hela yako
 
Back
Top Bottom