Kununua/ ku Invest au kununua share Jamii Forums

Narubongo,

Hili tumelifanyia kazi.



Tunashukuru sana kusikia hivo. Na pia tuanze kujenga kwa pamoja jukwaa letu ya Ujasiriamali



C.T.U

Huu ndio wakati wa kuongelea hizo ideas mpya za kutuletea profit. Tuanze kuzijadili hapa alafu tunaangalia way forward.
Mkuu kuelezea idea hapa ya kuikuza jf huoni watu watachukua the same ideas na kuziweka katika blogs zao zikawa hIt
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom