LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,457
Usafi mi nahisi wa mwili na wa mavazi, unaoga afu unavaa nguo za jana?.either vest au bra?utatoa harufu tu oga paka deodorant na badili nguo zote. Usirudie chupi,boxer vest wala bra bora ziwe kauka nikuvae kuliko kurudia. Hakikisha unafua na kuvua sio dk 2 tu. Loweka hata saa 1 suuza na maji mengi anika zikauke kauuu au piga pasi harufu utaisikia kwa wengine tu.
Nna jirani yangu ofisini mwanamke ana harufu mbayaa jmn na sijui nimwambiejee
Nna jirani yangu ofisini mwanamke ana harufu mbayaa jmn na sijui nimwambiejee