Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Usafi mi nahisi wa mwili na wa mavazi, unaoga afu unavaa nguo za jana?.either vest au bra?utatoa harufu tu oga paka deodorant na badili nguo zote. Usirudie chupi,boxer vest wala bra bora ziwe kauka nikuvae kuliko kurudia. Hakikisha unafua na kuvua sio dk 2 tu. Loweka hata saa 1 suuza na maji mengi anika zikauke kauuu au piga pasi harufu utaisikia kwa wengine tu.

Nna jirani yangu ofisini mwanamke ana harufu mbayaa jmn na sijui nimwambiejee
 
Jamani hii harufu naipenda sana kuisikilizia, huwa sipendi kabisa kuona shemeji yenu anatumia deodrant, na mara nyingine huwa nazificha ili nipate kusikia hii harufu, sometime akilala huwa naweka pua yangu kwapani kwake nisikie vizuri harufu hii, nimekuwa kama teja. Hivi hii kitu kuna wengine wenye kupenda?
Na mimi pia naipenda
 
Kuna dawa flani ya ugonjwa mwingine ila inapunguza kama sio kumaliza tatizo la harufu mbaya kwapani. Njoo DM kama una shida hiyo
 
Wakuu nisaidieni dawa, ziwe za mitishamba au za kitaalamu kundoa hili tatizo la kunuka kwapa mpaka naona aibu kuwa na wezangu karibu , nimejaribu kutumia tangawizi, limao na asali kwa kusaga na kuweka kwenye kwapa lakini tatizo bado.Msaada ndugu zangu
 
Jitibu kwa ndani. Safisha system yako. Kunywa maji mengi, juice fresh, madafu nk.

Safisha kikwapa hicho. Sugua na kipande cha limao ukishaoga.

Fyeka msitu kama upo.

Acha kurudia nduo. Zifue kabla hujavaa tena na uanike juani
 
Wakuu nisaidieni dawa, ziwe za mitishamba au za kitaalamu kundoa hili tatizo la kunuka kwapa mpaka naona aibu kuwa na wezangu karibu , nimejaribu kutumia tangawizi, limao na asali kwa kusaga na kuweka kwenye kwapa lakini tatizo bado.Msaada ndugu zangu
Kuna dawa moja naifanyia utafiti, kama upo tayari kuitumia kama kushiriki utafiti njoo inbox
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom