Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Watu tunapokuwa au tunapotoka vibaruani, kunuka jasho au vikwapa inachukuliwa kawaida muda huo coz mwili unakuwa umeshachemka kwa majukumu.

Kunachonishangaza ni asubuhi watu wanatoka majumbani wakiwa wametoka kuamka na wanaenda kazini au mashuleni (wanafunzi) wakiwa wamependeza kwa mavazi na ngozi lakini wananuka vikwapa na jasho asubuh asubuh tena karibia kila siku wanakuwa hivyo.

Huwa najiuliza wana matatizo gani?

IMG_20190820_103838_001.jpeg
 
Nadhani kuna tatizo zaidi la usafi
Nina jamaa yangu yeye ata akitoka kuoga baada ya dk 5 kikwapa kinatoa harufu , kashaoga sana limao lakini bado
 
Nadhani kuna tatizo zaidi la usafi
Nina jamaa yangu yeye ata akitoka kuoga baada ya dk 5 kikwapa kinatoa harufu , kashaoga sana limao lakini bado
Wala sio tatizo la usafi yaaani hii ni shida Kama kuna mtu Bado anateseka Basi aje PM
 
Wengine ni asili yao kunuka kikwapa hata kama ameoga ndomana kuna deodorants zinazokausha jasho na kukuacha fresh mda wote, usisahau kunyoa

Cc Kingsmann
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom