Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,450
- 25,591
Wakati wa kwenda kuoga sugua makwapa na limao au ndimu
Tumia ndimu na baking powder,, ama na colget
Punguza matumizi ya chumvi nyingi na kunywa maji ya kutosha
Limao unasugua kabla ya kwenda kuoga asubuhi na jioni ukitoka kuoga tumia antiperspirant deoderant stick zinasaidia kukuweka mkavu +kutokulowana jasho note:ukipata any chance ya kuoga oga hata kama ni zaidi ya mara 2 kwa siku
Ndani ya siku ngapi?
This is not goodkwa wale mnaotoka majasho ya kwapa kwa wingi bila break tumia hii dawa inaitwa Driclor. hii dawa inakata majasho ya kwapa na kubaki mkavu siku nzima. NB: apply hii dawa kwapani pekee kwengine yaache majasho yatoke sababu ya afya..
This is not good
Jasho ni lazima litoke..ule uchafu ukibaki ndani utaenda wapi??
Naelewa ila makwapani ndo sehemu ambako jasho linatoka jingi sana,sasa ukiliblock linaenda wapi??..simply linabaki mwilini na inaweza kuwa chanzo cha breast cancer..ndomana nikasema ipakwe kwapani tu kwengine paachwe jasho litoke. btw wanaotoka majasho ya kwapa hii dawa ni mkombozi kwao. hebu vuta picha mkuu upo na nguo za office alafu makwapa yanachora ramani kubwa hatari.
Nimekuwa nikiisikia sana, hivi inapatikana hapa Bongo?kwa wale mnaotoka majasho ya kwapa kwa wingi bila break tumia hii dawa inaitwa Driclor. hii dawa inakata majasho ya kwapa na kubaki mkavu siku nzima. NB: apply hii dawa kwapani pekee kwengine yaache majasho yatoke sababu ya afya..
kwa wale mnaotoka majasho ya kwapa kwa wingi bila break tumia hii dawa inaitwa Driclor. hii dawa inakata majasho ya kwapa na kubaki mkavu siku nzima. NB: apply hii dawa kwapani pekee kwengine yaache majasho yatoke sababu ya afya.
Bei yake ni kiasi gani?
Pharmacy gani inakopatikana kwa hapa dar?
Bei yake ni kiasi gani?
Pharmacy gani inakopatikana kwa hapa Dar?
AsanteUsipake deodorant ambayo inazuia jasho isitoke, kuwa msafi sana kunywa maji mengi,Fanya mazoezi usweat Sana oga kila maraaaa
Ok thanksnenda kwenye zile pharmacy kubwa za kariakoo kama JD PHARMACY utaipata. uwe na elfu 15+ mfukoni
Asante
Ila ungejua taabu tunazopata watu wenye hili tatizo, yaan ni bora hata nitumie hata kama ina madhara
Yaan ninaoga mara 2 mpaka mara 3 siku zingine, ila nikitoka kuoga dakika chache tu ninaisikia, nimejaribu deodorant wapi ndio zinatengeneza harufu nyingine mbaya
Ukitaka kujua yanayotukuta tunapochanganyikana na watu basi nenda kasome zile nyuzi zinazo wa diss watu wenye matatizo haya, yan kila mtu anakuchukia
So haina jinsi itabidi tu tuitafute hiyo hiyo