Kunifukuzia kote kumbe hawezi...!!

Kunifukuzia kote kumbe hawezi...!!

The Winner

Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
34
Reaction score
3
Jamani kuna thred yangu yenye kichwa cha habari nashangaa siioni,au ndio imefutwa na kwnn?
 
Labda yule jamaa kalalamika kwa mods.tuma porivate msg kwa invisible na paw
 
muulize INNOVATOR ndiye aliyesema atakua anadeal na mmu.mgande hadi airudishe.mwenyewe nmeisearch siioni.mgande.mia
 
Shida yako ni kumdhalilisha?au nini hasa?
 
sasa si uandike upya? au ulicopy mahal na wamefuta
 
Labda haina mashiko wameamua kuifuta.
 
Imerushiwa jukwaa lingine ambako wewe hustahili kwenda(kwa wakubwa tu).hivi na matusi yooote wale bado unaitafuta?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom