Ni mpare huyo mama sio mchaga,miaka ya 2004 alikua mweusi kma kangi lugola bdae akapiga mkorogomchaga kungwi? hatari sana kumbe wachaga wamo siku hizi,
Anaonekana kajipiga mkono mmojaNi mpare huyo mama sio mchaga,miaka ya 2004 alikua mweusi kma kangi lugola bdae akapiga mkorogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh we nawe kwani kifo kinazuilika?? Unaweza ukawa nae akakufia mikononi!Mume anamsaidia mke. Na mke anamsaidia mume. Kama alianguka kwa kisukari manake mwili uliishiwa glucose akazimia ikaleta kifo. Either alitumia insulin halafu hakula chakula au hakutumia insuli kabisa. Usipotumia, mwili unaishiwa glucose. Ukitumia na usipokula, sukari inapungua mwilini. Mkewe alifanya jitihada gani kuhakiki anakuwa sawa sababu ana tatizo la kisukari? Especially sababu yeye ni mfano kwa wengi na alitakiwa aweke ndoa yake mbele zaidi?
Kuwa na ndoa iliyo na furaha na amani haimaanishi umepewa uwezo wa kuzuia mapenzi ya mwenyezi Mungu..punguzeni fikra ambazo sio nzuri kama una uwezo wa kuzuia mtu asife kakae hospital uwe mfanoMume anamsaidia mke. Na mke anamsaidia mume. Kama alianguka kwa kisukari manake mwili uliishiwa glucose akazimia ikaleta kifo. Either alitumia insulin halafu hakula chakula au hakutumia insuli kabisa. Usipotumia, mwili unaishiwa glucose. Ukitumia na usipokula, sukari inapungua mwilini. Mkewe alifanya jitihada gani kuhakiki anakuwa sawa sababu ana tatizo la kisukari? Especially sababu yeye ni mfano kwa wengi na alitakiwa aweke ndoa yake mbele zaidi?
Acha apige mkorogo pesa si ya kwake???Ni mpare huyo mama sio mchaga,miaka ya 2004 alikua mweusi kma kangi lugola bdae akapiga mkorogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha akae hospitali awe anazuia vifo kama yeye anaweza.Kuwa na ndoa iliyo na furaha na amani haimaanishi umepewa uwezo wa kuzuia mapenzi ya mwenyezi Mungu..punguzeni fikra ambazo sio nzuri kama una uwezo wa kuzuia mtu asife kakae hospital uwe mfano
Mtu anayejiua kwa kunywa sumu asingekunywa angekufa? Hiyo ni imani yako kwamba kifo hakizuiliki. Lakini sio kwamba watu wote wanaamini hivyo. Tuko tofauti, na imani tofauti.Mmh we nawe kwani kifo kinazuilika?? Unaweza ukawa nae akakufia mikononi!
Anaeumba na kuchukua uhai ni Mungu pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanapenda sana kujipa moyo eti mapenzi ya mwenyezi Mungu wakati sometimes ni uzembe.Kuwa na ndoa iliyo na furaha na amani haimaanishi umepewa uwezo wa kuzuia mapenzi ya mwenyezi Mungu..punguzeni fikra ambazo sio nzuri kama una uwezo wa kuzuia mtu asife kakae hospital uwe mfano
Likely a heart attack? Hakuna autopsy? Inatakiwa full autopsy ifanyike aisee. Hata kwa Tz is possible.Usiwe mwepesi kuhukumu.... alikuwa known hypertensive on regular medication. Alijisikia ghafla akiwa na maumivu ya kifua na kushindwa kupumua.... likely heart attack ambayo hata wewe mkeo au mumeo can’t do nothing na hapa bongo heart attack ni highway to the grave kwa huduma za hospitali zetu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Also sihukumu mtu mimi. Nafikiria tu vile ningependa huduma ifanyike kama imetokea kwangu au ndugu wa karibu.Usiwe mwepesi kuhukumu.... alikuwa known hypertensive on regular medication. Alijisikia ghafla akiwa na maumivu ya kifua na kushindwa kupumua.... likely heart attack ambayo hata wewe mkeo au mumeo can’t do nothing na hapa bongo heart attack ni highway to the grave kwa huduma za hospitali zetu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nijimazie isije ikawa na argue na katoto kangu kenye kanasubiri kuingia kidato cha tano, yaan utoto huu
Pumba tupu! Kojoa ukalale...Mtu anayejiua kwa kunywa sumu asingekunywa angekufa? Hiyo ni imani yako kwamba kifo hakizuiliki. Lakini sio kwamba watu wote wanaamini hivyo. Tuko tofauti, na imani tofauti.
Personally, naamini kuna uzembe sometimes unafanyika na mtu anakufa. Mfano mtu anazembea kwenda hospitali kupata tiba ya malaria halafu akifariki etii Mungu amemchukua. Ni sawa tu. Endelea kuamini hivyo hivyo. Sitaku-judge ila please don't judge me either.
Najua uko makini na kamwe hautokufa maana unajua kuzuia kifo, na wala ndugu zako maana unachukua tahadhari sana na hongera sanWatu wanapenda sana kujipa moyo eti mapenzi ya mwenyezi Mungu wakati sometimes ni uzembe.
Mtu anayejiua kwa kunywa sumu asingekunywa angekufa? Hayo nayo ni mapenzi ya mwenyezi Mungu? Hiyo ni imani yako kwamba kifo hakizuiliki. Lakini sio kwamba watu wote wanaamini hivyo. Tuko tofauti, na imani tofauti.
Personally, naamini kuna uzembe sometimes unafanyika na mtu anakufa. Mfano mtu anazembea kwenda hospitali kupata tiba ya malaria halafu akifariki etii Mungu amemchukua. Ni sawa tu. Endelea kuamini hivyo hivyo. Sitaku-judge ila please don't judge me either.
Ndio sasa umekosa maneno ya kuongea UNAAMUA KUANZA KUTOA MATUSI??? Unaona matusi ndio sahihi. Nakuonea huruma sana.