20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jun 28, 2015 #1 Ndo kama hivi biashara matangazo Attachments 1435484807227.jpg 46.3 KB · Views: 720
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,853 Reaction score 25,040 Jun 28, 2015 #2 Hahahaha
Heaven Sent Platinum Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,719 Reaction score 98,389 Jun 28, 2015 #3 Hahahahahaha kungwi anaonekana kauzu hiyo
AgentX JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 1,651 Reaction score 1,701 Jun 28, 2015 #4 Heaven Sent said: Hahahahahaha kungwi anaonekana kauzu hiyo Click to expand... Kungwi ni nini
DOGofGOD JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 1,341 Reaction score 480 Jun 28, 2015 #5 Unaweza Kukuta Maskini Mama Wa Watu Hajui Hata Alichokivaa Kinamaanisha Nini. Mitumba Ni Shida Sana!
Heaven Sent Platinum Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,719 Reaction score 98,389 Jun 28, 2015 #6 KisomaX said: Kungwi ni nini Click to expand... Mwalimu anayewafunda hao mabinti/ wanawake kuhusu masuala ya mahusiano specifically jinsi ya kuishi na wanaume
KisomaX said: Kungwi ni nini Click to expand... Mwalimu anayewafunda hao mabinti/ wanawake kuhusu masuala ya mahusiano specifically jinsi ya kuishi na wanaume
AgentX JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 1,651 Reaction score 1,701 Jun 28, 2015 #7 Heaven Sent said: Mwalimu anayewafunda hao mabinti/ wanawake kuhusu masuala ya mahusiano specifically jinsi ya kuishi na wanaume Click to expand... Wewe tayari? Anagunda mpaka wanaume???? (Swali la kizushi)
Heaven Sent said: Mwalimu anayewafunda hao mabinti/ wanawake kuhusu masuala ya mahusiano specifically jinsi ya kuishi na wanaume Click to expand... Wewe tayari? Anagunda mpaka wanaume???? (Swali la kizushi)
Heaven Sent Platinum Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,719 Reaction score 98,389 Jun 28, 2015 #8 KisomaX said: Wewe tayari? Anagunda mpaka wanaume???? (Swali la kizushi) Click to expand... Me nafundwa Kila siku Hahaha. Sidhani kama wanafunda na wanaume
KisomaX said: Wewe tayari? Anagunda mpaka wanaume???? (Swali la kizushi) Click to expand... Me nafundwa Kila siku Hahaha. Sidhani kama wanafunda na wanaume
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,758 Reaction score 197,427 Jun 28, 2015 #9 Hajui hata kilichoandikwa hapo.